Naomba kujuzwa Bar au night club zenye karaoke Dar es salaam

Maeneo ya Sinza kuna sehemu nyingi sana.

Mikocheni

Mbezi ya chini (mbezi ya kwa zena) karaoke sehem nyingi ni ijumaa/jmos it depends na ratiba ya hiyo sehem
 
Back
Top Bottom