Naomba kujua

Naomba kujua

Wewe kakwambia nani ?
Alafu wewe ni Mtanzania ?
Shughuli zako unafanyia wapi ?
 
ah...huna mawasiliano nae ukamuuliza....?
 
Data nilizopata ni , Etoo alikua na mahusiano na Mboni Mayanga , sio Masimba !
 
Kunatatizo gani kwani mto akiwa na uhusiano naye?
 
Niambie tu............
Am here to listen
Halafu nataka nikusugue mgongo

Mgongo upi sasa? Najua mwajua wanaume tuna migongo miwili-miwili , kama ambavyo na nyie mnavyozuzidi baadhi ya viungo mnamiliki vinne! Sie viwili .
 
Mgongo upi sasa? Najua mwajua wanaume tuna migongo miwili-miwili , kama ambavyo na nyie mnavyozuzidi baadhi ya viungo mnamiliki vinne! Sie viwili .

Hebu nifafanulie hivo viungo vinne tunavyomiliki ..............

mi nautaka huo Mgongo wa kwenye picha yako
 
Hebu nifafanulie hivo viungo vinne tunavyomiliki ..............

mi nautaka huo Mgongo wa kwenye picha yako

Mnavyo own kutuzidi ni cheeks unakubali/unakataa ?

Kuhusu masuguzi ya mgongo ruksa sugua!
Btw una select mgongo mkubwa unauacha mdogo?
 
Mnavyo own kutuzidi ni cheeks unakubali/unakataa ?

Kuhusu masuguzi ya mgongo ruksa sugua!
Btw una select mgongo mkubwa unauacha mdogo?

Hahahaaaaa nimekubali hapo

si tunaanzia mgongo mkubwa then taratibu tunashuka mgongo mdogo
 
Back
Top Bottom