Naomba kujua zaidi

Naomba kujua zaidi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,467
Reaction score
65,789
Hell

Natarajia kwenda shule nikaongeze elimu sasa nataka ni change course hii ndio naona kwangu
Ipo vizuri embu naombeni mnipe dondo kidogo hii ipo vipi

BACHELOR’S DEGREE IN SHIPPING AND PORT LOGISTICS MANAGEMENT
 
hiyo course huwa ina watoto wazuri 😋.
Utafaidi mwanawane
Utawakojiza sana
 
Sikuhizi course zote zina watu wengi. Ila course zina limit ya number ( nenda ukasome kuna totoz nzuri ) utakojoza tani yako
Ohh kumbe kuna staff una mfahamu pale?
 
Fanya utafiti mkuu, anzia hapa then nenda deep zaidi ili kujua kila kitu kuhusu course unayotaka kusoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom