goodfool
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 1,664
- 993
Habari zenu,
Je, website gani naweza kutengeneza site na blogu bure au kwa gharama nafuu ambazo zinawea kupatikana kwenye google search. Yaani niki-search Google niweze kuiona website au blogu yangu.
Pia naomba kufahamu ni namna gani naweza ku-publish content za blogu yangu kwenye Opera News.
Asanteni.