Naomba kujua waungwana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua waungwana

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kpclassic, Sep 19, 2012.

 1. K

  Kpclassic Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  :baby: Hivi mwalimu anatakiwa akae kazini miaka mingapi ndo apate ruhusa ya kwenda masomoni kujiendeleza?Kwa sababu mimi nina miaka miwili na huu ni wa tatu lakini haujakamilika kazini,nimethibitishwa na nina TSD no tayar,ila naenda halmashauri wananikatalia na nimechaguliwa chuo kimojawapo hapa nchini mwaka huu.:baby:
   
 2. mawazoyangu

  mawazoyangu JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  ukishakuwa confirmed unakwenda shule :flypig:
   
 3. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Miaka miwili tu mkuu
   
 4. E

  Eselo Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unatakiwa ukae miaka miwili tu,,we komaa nao watukurelease tu,,
   
 5. K

  Kpclassic Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Asanteni sana wakuu,hapa mpaka kieleweke.
   
Loading...