Naomba kujua utaratibu wa usafiri wa ndege

dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,332
1,375
Wakuu,
Sijawahi panda pipa hata siku moja! Ila natamani sana kujua zile procedure za usafiri huu zikoje. Kuanzia viza kukata tiketi, kupanda, kuvaa mkanda, kutumia simu ile flight mode na mbwembwe zoote. pia kama umewahi kuunganisha naomba experience ikoje.
Pia kama ukiachwa na pipa labda india unafanyaje? Tupeni ujuzi wazee.

Nawasilisha.
 
. ... Usiogope ila iko poa sanaa kidogo inasumbua wakati ikiluka n ikitulia ni kama upo ndani ya nyumba maeneo ya masaki kimyaa.. Ngoja wakuje wenyewe!!
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Unataka kwenda nje ya nchi Tz a u mkoa mpaka mkoa.
 
ha ha ha ha ha Umenikesha sn mkuu.Umeongea ukwel sijui toka moyon yaan mpk unatia huruma.Mi naomba nikupe offer kwanza ya first jet.Dar -Nairob,afu ndo uende hiyo safar yako sasa uko Dunian.Uko Dunian kila kitu kinajieleza mrad unajua kusoma kiinglish na kuelewa,bhas.Doa,Amsterdam,Dubai kila kitu kiko Ubaon.Unasoma Ticket yako na Destination yako.
TE="dtj, post: 16061170, member: 261990"]Wakuu,
Sijawahi panda pipa hata siku moja! Ila natamani sana kujua zile procedure za usafiri huu zikoje. Kuanzia viza kukata tiketi, kupanda, kuvaa mkanda, kutumia simu ile flight mode na mbwembwe zoote. pia kama umewahi kuunganisha naomba experience ikoje.
Pia kama ukiachwa na pipa labda india unafanyaje? Tupeni ujuzi wazee.

Nawasilisha.[/QUOTE]
Ha

ha
 
ha[/QUOTE]
Mkuu, Aisee nahisi ntazimia! Mimi hata nkipita pale airport huwa naogopa kuliangalia pipa! Nahisi ule ndo uoga wangu
 
Ha

Acha woga wewe,ndo kujifunza uko.Mambo ya kupand mapipa ukubwan nayo ndo madhara yake ayo.Usiwe na shaka ondoa tz woga kila kitu kiko waz kuanzia unavyoingia kwenye ndege hp Airport mpk utakaposhuka,Patam kwenye kuchange flight ukilemba unaachwa,najua lazima macho yatakutoka kushangaa li airport la uko Dunian,kuna maget kibao na panda shuka kibao.Bak unashangaa uachwe.
 
Mkuu, Aisee nahisi ntazimia! Mimi hata nkipita pale airport huwa naogopa kuliangalia pipa! Nahisi ule ndo uoga wangu

Acha woga wewe,ndo kujifunza uko.Mambo ya kupamba mapipa ukubwan nayo ndo madhara yake ayo.Usiwe na shaka ondoa tz woga kila kitu kiko waz kuanzia unavyoingia kwenye ndege hp Airport mpk utakaposhuka,Patam kwenye kuchange flight ukilemba unaachwa,najua lazima macho yatakutoka kushangaa li airport la uko Dunian,kuna maget kibao na panda shuka kibao.Bak unashangaa uachwe.[/QUOTE]
He he he! Mungu anipe nguvu.
 
kuna uzi kule jf chit chat....unasema "siku ya kwanza kupanda ndege,ushamba mzigo"...ebu kafungue kule wadau wameeeleza na wanaendelea kueleza kwa kina sana juu ya ilo unaloliita pipa...ukiaanza kuusoma huo uzi hutokuwa na swali tn maana kila utachotaka kujua kishaelezwa kule,pia faida nyengine utayoipata ni kuongeza siku kwa kucheka kutokana na experience za watu mbalimbali kwenye hayo mapipa ya huko angani.
Ahsante
 
Ikitokea umeachwa na ndege popote si india tu option ni next flight for similar destination ambapo kwanza utalipa penalty ya no show na difference kidogo kwa booking mpya! Hivyo muhimu kuwa na pesa ya emergency (in $) rest ni kutega sikio lako kama antena kusikiliza matangazo mara kwa mara kusoma digital notice boards kuijua flight no yako na kujua geti lako husika na hakikisha una boarding pass! Mengine utaelekezwa na staff waliopo airport! Tizama wenzio wanafanyaje nawe wafuate
 
Mi naomba nianze kwanza unatakiwa ukate ticket ya mahali unapoenda then siku ya safari wahi airport masaa mawili kabla ya muda wa safari kwa kawaida muda wa safari huandikwa kwenye ticket na muda wa kufika huko uendako.
Ukifika airport pale agana na ndugu zako then nenda kapange mstari wa kuingia ndani wakati huo uwe umevua viatu na mkanda kwa ajili ya kukaguliwa pale mlangoni,ukifika pale utakuta staff wa airport atakagua ticketi yako na passport pale mlangoni,alafu ukishapita ukiingiia mule ndani nenda moja kwa moja kwenye desk la kampuni yako ya ndege utakayosafilia utawapa ticket wao watakupa kikaratasi kinaitwa boarding pass hapo utakua umefanya kitendo kinaitwa check in sasa baada ya hapa wenye ndege wanakua wameishajua kuwa watasafili na wewe so utapanda kule juu utakutana na watu wa migration watakagua boarding pass yako na passport watakuruhusu upande juu tayari kwa safari muda ukifika kuna matangazo yanatangaza kila ndege inayoondoka so utakutana na wenzako hapo na hata kama utaelewa ndege yako,ndege ikitaka kuondoka utatafutwa pale airport hadi wakupate kwa kawaida loud speaker zitatangaza bwana fulani ndege yako inataka kuondoka please uje.there after utaingia kwenye pipa mule ndani utakutana na wahudumu wa ndege wataangalia boarding pass yako na watakuonesha siti ya kukaa.
Ndege kabla ya kupaa mtapewa procedure za kujiokoa kama litatokea lolote hiyo ni lazima hata kama umewai kusafili mara 100 baada ya hao wahudumu kumaliza demostration yao utamsikia pilot aliwatakia safari njema ana atawaambia flight yenu itakua ya masaa mangapi na mtapaa umbali wa futi gapi huko juu mengineyo utaona huko huko na inaruhusiwa kama umemwona mtoto mzuri kakaa peke yake unaweza kuhamia kwenye siti yake mkaanza kupiga story kama mko kwenye saibaba ya DAR to MOSHI
 
Na mm ni mmoja wa watu tunaohitaji kujua utalatibu huo. Nimeelewa sana, lakini vipi kuhusu kuipata hiyo viza yaani process zote kabla ya kufikia hatua ya kuwa na kibali. Yani namna ya Kupata viza au tiket
 
Mi naomba nianze kwanza unatakiwa ukate ticket ya mahali unapoenda then siku ya safari wahi airport masaa mawili kabla ya muda wa safari kwa kawaida muda wa safari huandikwa kwenye ticket na muda wa kufika huko uendako.
Ukifika airport pale agana na ndugu zako then nenda kapange mstari wa kuingia ndani wakati huo uwe umevua viatu na mkanda kwa ajili ya kukaguliwa pale mlangoni,ukifika pale utakuta staff wa airport atakagua ticketi yako na passport pale mlangoni,alafu ukishapita ukiingiia mule ndani nenda moja kwa moja kwenye desk la kampuni yako ya ndege utakayosafilia utawapa ticket wao watakupa kikaratasi kinaitwa boarding pass hapo utakua umefanya kitendo kinaitwa check in sasa baada ya hapa wenye ndege wanakua wameishajua kuwa watasafili na wewe so utapanda kule juu utakutana na watu wa migration watakagua boarding pass yako na passport watakuruhusu upande juu tayari kwa safari muda ukifika kuna matangazo yanatangaza kila ndege inayoondoka so utakutana na wenzako hapo na hata kama utaelewa ndege yako,ndege ikitaka kuondoka utatafutwa pale airport hadi wakupate kwa kawaida loud speaker zitatangaza bwana fulani ndege yako inataka kuondoka please uje.there after utaingia kwenye pipa mule ndani utakutana na wahudumu wa ndege wataangalia boarding pass yako na watakuonesha siti ya kukaa.
Ndege kabla ya kupaa mtapewa procedure za kujiokoa kama litatokea lolote hiyo ni lazima hata kama umewai kusafili mara 100 baada ya hao wahudumu kumaliza demostration yao utamsikia pilot aliwatakia safari njema ana atawaambia flight yenu itakua ya masaa mangapi na mtapaa umbali wa futi gapi huko juu mengineyo utaona huko huko na inaruhusiwa kama umemwona mtoto mzuri kakaa peke yake unaweza kuhamia kwenye siti yake mkaanza kupiga story kama mko kwenye saibaba ya DAR to MOSHI
Asante mzee baba
 
Back
Top Bottom