PENTAKINYE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 817
- 826
nishauri au nieleze siyo unasema back to school mwenzio sijasoma kweli darasa la nne tu nikaacha shule kwaajili ya kuwinda tongwa porinisijui ndiyo maana nimeulizaback to school
kwakwli iko poa na inapendeza sana hivi wasingetumia njia nyingine kubana matumizi maana hizo nguzo simchezo garama yake tu inaonyesha ni balaa
urembo wa jiji.kwakwli iko poa na inapendeza sana hivi wasingetumia njia nyingine kubana matumizi maana hizo nguzo simchezo garama yake tu inaonyesha ni balaa
Jibu unalo.Habari wana jf mimi kuna kitu kidogo tu kina nitatiza hivi kulikuwa na ulazima gani wa kuipitisha juu treni ya kisasa inapokaribia kituo cha DSM JE NI KUKWEPA MUINGILIANO NA BARARABARA au kuna sababu nyingine?
nawatakia siku njema
eh eh washangiliaji wanajua sana mpira kuliko wachezaji.....kwanini walijenga daraja la mfugale wakati kwote yanapita magari tu.
hivi isingewezekana kukwepesha barabara kuliko reli kupunguza garamawamekwepa madereva kugonga tren mara kwa mara
hivi isingewezekana kukwepesha barabara kuliko reli kupunguza garama
Ni kwamba other traffics thru other modes of transport ziweze ku flow unlimited. Maana ingepita chini ingeingiliana na reli na barabara. Hivyo flow ya traffic ingekuwa ndogo.Habari wana jf mimi kuna kitu kidogo tu kina nitatiza hivi kulikuwa na ulazima gani wa kuipitisha juu treni ya kisasa inapokaribia kituo cha DSM JE NI KUKWEPA MUINGILIANO NA BARARABARA au kuna sababu nyingine?
nawatakia siku njema
JE MKUU kusingekuwa na uwezekano wa kutengeneza ka flyover kwenye kila makutano ya barabara ilikuserve money? kitaalamu lakini nauliza nisije onekana napinga maendeleo
JE MKUU kusingekuwa na uwezekano wa kutengeneza ka flyover kwenye kila makutano ya barabara ilikuserve money? kitaalamu lakini nauliza nisije onekana napinga maendeleo
back to school
Mkuu wasukuma sikuhizi wameelimika siyo kama zambani wako vizuri tu vitu hivi wanavijua sanaaaDogo tulisa bol. Hizo ni kiki tu ili msukuma akitoka Shinyanga ashangae jiji. Kuanzia flaiova tazara. Intachenji ubungo reli ya juu gerezani na barabara ya baharini cocobich hadi agakhan. Kwa mfano ukiwa na kagari ukamchukua mtoto wa Mwanza ukamtembeza kwenye hayo maeneo ukamalizia ba daraja la nyerere hakika utapewa mpaka ukinai
Mfugale sio daraja(bridge) mzee baba ile ni ruka juu(fly over)eh eh washangiliaji wanajua sana mpira kuliko wachezaji.....kwanini walijenga daraja la mfugale wakati kwote yanapita magari tu.
Nimeacha makabila yote nimewataja wasukuma kwasababu ni wanyonge wangu ukipenda watani. Nina imani msukuma hata awe na PhD bado ushamba haumtoki. Hawa ndio wajukuu wanguMkuu wasukuma sikuhizi wameelimika siyo kama zambani wako vizuri tu vitu hivi wanavijua sanaaa