Naomba kujua teknolojia ya Encyption imekaaje?

Naomba kujua teknolojia ya Encyption imekaaje?

Charachter 64 parefu sana mkuu,

Kwa lugha ya kitaalamu ni motherboard za mining wanazotumia kuchimba Cryptocurrecy, zinakuwa kama hivi
59124_05_colorfuls-new-mining-motherboard-pcie-x16-slots_full.jpg


Wanaweka slot nyingi za Gpu.

Na Bei za Titan x zimetulia ukinunua 8 jiandae kama milioni 20 hivi.

Na uhakika wa kupata password pia sio 100%.
Hakuna cloud service inayoweza kufanya hii kazi?
 
Nakushukuru Gobole na chief Mkwawa. Nimepoteza private key ambayo nimehifadhi pesa kibao yaani napata wazimu.
Umepotezaje? Hakuna Auto backup yoyote uliyofanya? Inawezekana hujui lakini kukawa na backup mahala fulani.
 
Umepotezaje? Hakuna Auto backup yoyote uliyofanya? Inawezekana hujui lakini kukawa na backup mahala fulani.
Nilikuwa na lapto ambayo ilikua 32- bits nikataka nibalishe OS kwenda 64 bits. Technician akanishauri (sijui labda alikuwa na tamaa ya pesa tu) kwamba nibadili hard disk pia. Ile ya zamani niwe naitumia kama external HD. Baada ya siku kadhaa nilipojaribu kuiunga na laptop ikawa not detected. Nikamrudishia aangalie tatizo liko wapi.

Akasema haifanyio kazi tena. Baada ya muda nikampigia kumjuliosha nitapita ofisini kwake niichukue nitafute mtaalamu mwingine anayeweza kufanya data recovery akasema alifanya renovation ya ofisi na vitu vingi vilivyokuwa vibovu alivitupa. Wakati naitumia laptop ikiwa na ile HD ya mwanzo nilikuwa natumia browser ya Chrome na nilikuwa na extension ya crypto inaitwa Metamask.

Humpo ndo nilifanya ku-import another account. Nilipofungua browser sikuiona tena ile extension. Baadae nilipojaribu kuirudisha ile extension kwa kutumia 12 words phrase ilikuja na zile accounts ambazo nimecreate kwa kutumia ile extension lakini ile ambayo ni imported haikuonekana kwa sababu wenyewe wanasema hazihusiani. I am feeling like dying.
 
Nimejaribu kila namna labda kuangalia kwenye cached memory kupitia google account yangu kwa sababu niliweka sync sikufanikiwa 😕
 
Nilikuwa na lapto ambayo ilikua 32- bits nikataka nibalishe OS kwenda 64 bits. Technician akanishauri (sijui labda alikuwa na tamaa ya pesa tu) kwamba nibadili hard disk pia. Ile ya zamani niwe naitumia kama external HD. Baada ya siku kadhaa nilipojaribu kuiunga na laptop ikawa not detected...
Mkuu uli login na google account kwenye hio chrome? Kama ulilogin pengine ulitick tick vitu na imekuwa saved kwenye google drive yako? Umejaribu kulogin tena na account ya google uone kama ita restore?
 
How did you create hizo keypair to begin with?
I did not create them. I was on etherdelta.com and I created a new account there. It comes with a private key which I am sure I saved it somewhere in the laptop but I searched and searched to no avail.
 
Nilikuwa na lapto ambayo ilikua 32- bits nikataka nibalishe OS kwenda 64 bits. Technician akanishauri (sijui labda alikuwa na tamaa ya pesa tu) kwamba nibadili hard disk pia. Ile ya zamani niwe naitumia kama external HD. Baada ya siku kadhaa nilipojaribu kuiunga na laptop ikawa not detected...
Hio hardisk ulioitoa did you formart it?km u did not irudishe iwe km main then ita boot kwenye Os ya zamani...from there u will be able to retrieve ur key pair
 
Mkuu uli login na google account kwenye hio chrome? Kama ulilogin pengine ulitick tick vitu na imekuwa saved kwenye google drive yako? Umejaribu kulogin tena na account ya google uone kama ita restore?
Nimetafuta google drive file after file sioni chochote
 
Hio hardisk ulioitoa did you formart it?km u did not irudishe iwe km main then ita boot kwenye Os ya zamani...from there u will be able to retrieve ur key pair
Sinayo tena mkuu. Baada ya kuwa haisomi nilimrudishia technician then akaipoteza.
 
Sinayo tena mkuu. Baada ya kuwa haisomi nilimrudishia technician then akaipoteza.
Nimejaribu kuangalia sync memory kwenye google account yangu nimekuta maelfu kwa maelfu lakini sijapata any clue ya kupata key iliyopotea. Nikiwauliza etherdelta wanasema they do not store the private keys. They are locally stored in my browser. Nimechanganyikiwa.
 
Mkuu encryption ni ile hali ya kubadili data kwenda mfumo mwengine ili isiweze kusomwa na mtu ambae hizo data hazimhusu.

Mfano unachat na mchepuko wako bila encryption mitandao ya simu kama voda wanaweza wakaona unachat vipi, ila kunapowekwa hizo encryption kama Md5 ama zilizotajwa hapo juu bila key mtandao wa simu hawawezi kujua...
I guess kuna mtu kapoteza private key maana ata mimi once nliwahi poteza private key ya mega ilikua na info muhimu sana na account adi leo sijawahi irecover niko na nyingine tu
 
Ni crypto mkuu

Ni crypto mkuu
Pole sana mkuu, kwa crypto wanakey ngumu sana aisee maana kama imepotea bila backup yake inatesa kidogo mkuu na always huwa hawatunzi na wanakupa moja at a time.

Mimi kwa ushauri wangu jaribu ku bruteforce izo key but itakuchukua muda sana au jaribu kubreak device yenyewe ulokua unatumia utaweza exploit data zote na unaweza ipata but best try ku exploit machine yako ulokua nayo itakua easy anyway its my opinion
 
Pole sana mkuu, kwa crypto wanakey ngumu sana aisee maana kama imepotea bila backup yake inatesa kidogo mkuu na always huwa hawatunzi na wanakupa moja at a time.

Mimi kwa ushauri wangu jaribu ku bruteforce izo key but itakuchukua muda sana au jaribu kubreak device yenyewe ulokua unatumia utaweza exploit data zote na unaweza ipata but best try ku exploit machine yako ulokua nayo itakua easy anyway its my opinion
Sijakuelewa hapo kwenye kubreak device. How?
 
Sijakuelewa hapo kwenye kubreak device. How?
I mean kama device ulokua nayo mwanzo ulokua unatumia kwenye crypto kama hdd yake ipo just tumia iyo kupata izo key mkuu ndo simpo way maana unaweza kua umesave sehemu ambayo hukumbuki ni wapi kama kwenye cloud umekosa what next
 
Wakuu Nawasalimu,

Hiii teknolojia ya encyption huwa inanipa maswali mengi san. Kuna teknolojia mabalimbali kama MD5 na SHA-256 ambazo unaweza kutengeneza keys mbili.

Moja ni private key ambayo unakuwa nayo mwenyewe na nyingine ni public key. How comes siwezi kupata private key kutoka kwenye public key?

Hii encyption ya public key (hash) hakuna njia ya kuifanyia reverse engineering nikapata private key.

Kila mwanasayansi wa computer ninayeongea naye ananiambia this will need a quantum computer.

Kwa sasa IBM wana facility yao kwenye cloud ya quantum computing. Wajuzi tafadhali tupeane mawazo.
Em acheni utani kwanza tuongee facts.

Encryption na hashing ni vitu viwili tofauti kabisa.

HASHING algorithms zinatengeneza kitu kama signature hivi. Kuna hashing. Input kwenye hashing alg ni content ama file kisha inafanya some sort of mapping na kukutengenezea signature(hash) ambayo itabadilika endapo hata content ndg tu ikibadilishwa kutoka kwenye original input. Mfano kama mm na ww tunatumiana data, naweza kukutumia data kwenye network ambayo sio salama, tuseme kupitia http protocol, ili nihakikishe unapata exact content ninayotaka uipate basi nitahash content kisha nakutumia data na hash yake. Data zikifika upande wako nawe utahash uone kama unapata signature ileile. Kama data zilibadilishwa basi hautopata signature ileile.

kwa kifupi ni kwamba "HASH CODE WILL ALWAYS REMAIN THE SAME AS LONG AS DATA IS THE SAME"

Sasa kwa wanaotumia hashing kutunza passwords za users kwenye database wanakua wanaongezea kitu kinaitwa salting ili kufanya 2 passwords zisilete hash code moja. Actually salting ni kuongeza some random characters kwenye input ili hashcode ibadilike. Mfano mie natumia password JF2020MAX na wewe ukatumia hiohio. hapo salting itaongeza random characters kwenye pwd hizo mbili na mwisho wa siku utakuta pwd yangu inayokua hashed ni JF2020MAXfghhsds$ af na yako inakua JF2020MAXggfdfsh. Kama ww ni coder wa php kuna functions za password_hash(); na password_verify(); zinarahisisha sana maisha ikifikia wakati wa hashing.

Mwisho kabisa huwezi tumia hash kupata original content hata siku moja, unless ufanye kubahatisha bahatisha, technically we call it BRUTE-FORCING

Kwa upande wa public-key & private-key encryption kitu kinachofanyika ni kutengeneza keys ambazo zinatumika kulock content(not exactly what it means lkn kama ni mgeni hio itakusaidia kuelewa). Hio inamaanisha ukishapata keys unaweza kuona na kumodify contents.

Sasa hii encryption inavyofanyika ni simple tu lkn kui-undo ndio kazi. Process nzima inategemea matumizi ya prime numbers(we call them namba tasa).

Mfano nikizidisha namba tasa (prime) mbili ambazo ni X na Y nikakupa product yake tu na nikakwambia utumie product yake kupata hizo namba mbili lazima kuna ugumu utaupata. Kama zikiwa ni namba shufa au witiri unaweza kupata jibu kiurahisi lkn kama ni tasa, aisee utasumbuka.

Check this.... Nambie 221 unaipata kwa kuzidisha namba zipi.??

actually ni namba mbili tu ndo unaweza zizidisha na ukapata 221 ambazo ni 13 na 17. Ukishajua namba mojawapo ndipo unaweza kupata namba ya pili. Lkn kadiri unavyotumia prime numbers kubwa zaidi ndipo inavyokua ngumu kuguess. Jaribu tena kutafuta namba 2 ambazo ukizizidisha utapata 39203(kama haujawahi kukutana nayo am sure it will take you a day or 2).

So kiufupi kabisa ni kwamba kinachofanyika kwenye basic encryption ni kutengeneza product kutoka kwenye 2 high, randomly selected prime numbers kwa kuwa product yake ni almost impossible(sio completely impossible but almost impossible) kuipata.

Sitoongelea kiundani zaidi coz algorithms zake zinazidi kuwa complicated jinsi unavyozichimba zaidi.

Ila kadiri ya swali lako. Ni kwamba kuna uwezekano wa kuwepo na njia ya kubreak hizo Public-key & Private key encryption kwa sababu kuna problem kwenye computer science inaitwa P vs NP bado haijafanyiwa utatuzi. Kama utatuzi ukitikea na ikagundulika kuwa P vs NP is TRUE basi ndio utakua mwisho wa hii public key encryption na Security technologies itabidi zitengenezwe upya. Sitooongelea kuhusu P vs NP lkn kuna uzi fln humu nilianzisha kuhusu hio kitu unaweza ufatilia au ukagoogle kupata maelezo bora zaidi.


I stand to be corrected but with FACTS.
peace......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom