Naomba kujua taratibu za kumiliki website

ighalamu

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
393
643
Habari zenu wakuu,

Kuna kipindi cha nyuma kidogo nilikuwa namiliki blog yangu ila kutokana na sheria mpya iliyohitaji kulipia blog yangu ikanibidi nisitishe zoezi kidogo maana nikaona mambo yasiwe mengi kwa wakati ule.

Sasa hivi nimekuja na idea nyingine ambayo inafanana kidogo na ile ya mwanzo ila kwa sasa nataka nitengeneze website.

Swali nililo baki nalo kichwani ni je, utaratibu wa kumiliki/ kuhost website nao unataka uilipie kama blog? Na je kiasi unacho takiwa kulipia ndio kile kile au kuna utofauti? Je, kuna utaratibu wa ziada au sheria juu ya kumiliki/kuhost website?

Ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiendekeza upuuzi wa serikali hizi takataka, hakuna utakachofanya.
Wao wanakula wanashiba halafu, wanakuwekea wewe upuuzi, ufe njaa
 
Ukiendekeza upuuzi wa serikali hizi takataka, hakuna utakachofanya.
Wao wanakula wanashiba halafu, wanakuwekea wewe upuuzi, ufe njaa
Kwa kweli lile suala la kuweka kile kiwango cha kulipia upand wa blog na youtube channel kiliwagusa wengi, japo kuwa kuna wahuni wanatumia VPN ila bado mamb yanabana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blog, website au youtube channel zinazolipiwa ni zile zinazohusiana na habari kwahiyo vinachukuliwa km vyombo vya habari. Ndivyo nijuavyo mimi.

Tengeneza blog au website yako kisha weka content za kiingereza zote. Weka ads yako. Kula maisha
Mambo ya habari kama mpekuzi, MilardAyo achana nayo
 
Kwa kweli lile suala la kuweka kile kiwango cha kulipia upand wa blog na youtube channel kiliwagusa wengi, japo kuwa kuna wahuni wanatumia VPN ila bado mamb yanabana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unariport habari ambayo haijathibitishwa lazima wakukamate.
Achana na mambo ya habari maana huko ndiko unajivika kitanzi. Kuna habari nyingi sana ambazo hutokea hazijathibitishwa.
 
Blog, website au youtube channel zinazolipiwa ni zile zinazohusiana na habari kwahiyo vinachukuliwa km vyombo vya habari. Ndivyo nijuavyo mimi
Tengeneza blog au website yako kisha weka content za kiingereza zote. Weka ads yako. Kula maisha
Mambo ya habari kama mpekuzi, MilardAyo achana nayo
Nimekupata mkuu ngoja nirudi kundini rasmi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom