Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,074
Feki iyo....ukiwasha samsung og inaanza na samsung cjui android blah blah
Mkuu asante sana kwa ushauri wako nimecheki na hiyo phone info imenipa jibu sawa kabisaPhone info itakupa details..na ukibonya juu kushoto kwenye options hapo.. utapata tests kadhaa.. na kama utabonya refurbrishment check nayo itakujibu majibu...mfano...
![]()
![]()
Other options kama kucheki imei authenticity pia zipo
![]()
____________________
Genuine galaxy... hainaga siri itakujibu hapohapo baada ya kucompare specs za simu na zile za samsung halisi..check mfano huu
![]()
![]()
Mkuu upo vizuriPhone info itakupa details..na ukibonya juu kushoto kwenye options hapo.. utapata tests kadhaa.. na kama utabonya refurbrishment check nayo itakujibu majibu...mfano...