Naomba kujua Nyumba zinazonukia, Wanafanyaje?

Ukifika Ukerewe utashangaa na roho yako,unakijua kibambala?kikipikwa hcho kinanukia shombo humo ndani wiki tisa
Usinichekeshe mimi kumbe adi wakerewe wapo jf
sema umenikumbusha mbali kuna sehem nilikula iko kibambala nakwambia nilinawa na sabun lkn wap
ukerewe bwana haya bhna
 
Tunatumia humidifier my dear. Tunaweka essential oils kwenye humidifier wengine huziita diffuser and then hewa safi and pia it helps to relax.

Nzuri kwa afya pia.
 
Lengo la kutaka nyumba kunukia (tofauti na uhalisia wake) huwa ni nini? Je ni kuficha harufu mbaya(ya uchafu)? Kama kuna uchafu unatoa harufu mbaya si ni bora kuutoa huo uchafu?
Mkuu we ni fala sanaπŸ˜‚πŸ˜…πŸ€£πŸ™Œ ndo nimecheck comment yako kwakweli umenifuraisha
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lengo la kutaka nyumba kunukia (tofauti na uhalisia wake) huwa ni nini? Je ni kuficha harufu mbaya(ya uchafu)? Kama kuna uchafu unatoa harufu mbaya si ni bora kuutoa huo uchafu?
Ah si mchezo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…