Naomba kujua NMB Branch inayofanya kazi siku ya Jumapili kwa Dar es Salaam

Profesa wa Maliasili

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
632
1,893
Wasalaam Wakuu,

Nahitaji Jumapili hii nikabadilishe ATM Card yangu imezingua na nafasi niliyonayo ni Jumapili tu. Je, kuna tawi lolote la NMB inayofunguliwa Jumapili ninayoweza kupatia huduma hii?

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom