Jovanny hm
Member
- Jun 5, 2019
- 31
- 25
Habari,
Nimenunua Smartphone used kwa bei ya chini hadi nimejishtukia. Ni Simu ya 475,000 lakini nimeinunua kwa 200,000.
Simu bado mpya na katika kuikagua haina tatzo lolote. Nimepatwa na wasiwasi kwamba isije ikawa nimeuziwa mbuzi mbuzi kwenye gunia (risk za kununua simu used zinajulikana)
Wasiwasi ni akili, Nikapata wazo la kuchange IMEI number ili isije ikawa tracked, kwakuwa kuchange IMEI kunahitaji rooted phone (sina hakika kama inaeezekana kwa unrooted phones) nikawa nimesita kidogo, Isije nikatake risk ya kuroot na kukawa kuna njia nyingine ya kuzuia tracking pasipo kuroot.
Msaada:
1. Je kuna njia ya kuzuia tracking pasipo kuChange IMEI. Kama ndio ningeomba kupata msaada wa hiyo njia
2. Kama itahitaji kubadilisha IMEI, Je kuna njia ya kubadilisha IMEI pasipo kuroot simu?
Sent using Jamii Forums mobile app