Naomba kujua mimi ni kundi gani /mtu wa aina gani

Mkuu pole kwa tatizo linalo kukabili na chngamoto za wana jf baada ya kutoa ushauli wanaleta vijimaneno vyao hawajui watu wapitia challenge nyingi
 
Maelezo yako yanaenda mbele na kurudi nyuma.
Ww ni mpole mara hapohapo ni mkorofi. Hapohapo una huruma huku unapenda ugomvi. Hapo hapo hupendi kuongea mara huwa unaongea.

Labda tu niseme ww ni kichaa.
Mood swing..
 
Bipolar
 
Utakuwa na multiple personality disorder mkuu iliyotokana na experience ya hapo nyuma.

Ok nimepitia uzi wote nimegundua ni serious nashauri umuone daktari wa akili.
 
Duh kama mm
 
Asante kwa ushauri wako Mkuu ntajitahidi Sana kwadri ya uwezo wangu kuifanyia kazi ndo saiv naamin magonjwa ya akili Ni real nachanganyikiwa sana
Basi nenda hospital..wanatoa ushauri na dawa pia ya kukutuliza
 
Daaah pole Sana kmbe siko pekeangu naimani tutapata muongozo ata Mimi pia nakuwa muongeaji Sana Kama nikikuzoea
 
Mkuu pole kwa tatizo linalo kukabili na chngamoto za wana jf baada ya kutoa ushauli wanaleta vijimaneno vyao hawajui watu wapitia challenge nyingi
Kuna watu wengi humu hawajastaarabika wanahisi kila kitu Ni kufanya masihara na kuchekesha hawajui matatizo haya yanachukua maisha ya watu
 
Utakuwa na multiple personality disorder mkuu iliyotokana na experience ya hapo nyuma.

Ok nimepitia uzi wote nimegundua ni serious nashauri umuone daktari wa akili.
Asante kwa ushauri nipo kwenye mchakato wa kutafuta daktari
 
Daaah pole Sana kmbe siko pekeangu naimani tutapata muongozo ata Mimi pia nakuwa muongeaji Sana Kama nikikuzoea
Hakuna haja ya pole sababu kwangu sioni kama ni disorder bali it's just a lifestyle, napata muda mwingi kusolve mambo yangu binafsi pia muda wa kutosha kujifunza vitu vipya through articles na site mbalimbali
 


Multiple personality disorder (MPD)

Pole sana Chief, jaribu kwanza kutafuta articles zinazozungumzia hiyo kitu hapo juu, jisomee mwenyewe huku ukitafiti kama unaendana na hio disorder then ndipo utafahamu ni msaada wa aina gani unahitaji.

Binafsi kwa haya maelezo yako mafupi naweza kusema hiyo MPD inakuhusu ila inahitaji kwenda ndani zaidi kwenye mizizi kujua hasa namna ya kukutibia.

Husithubutu kwenda kwa “waganga” na “waganguzi”, yours is a psychological problem. Self inflicted. Inborn mostly from over hyped ego or/& insecurity issues.

Prayers do help, only if you know the root cause.
 
Nimejitahidi Sana kusahau yaliyopita ila yanakuja automatic yenyewe yaani saiv matendo ya zamani kwa asilimia kubwa nimeacha ila Sasa saiv ndo naona kabisa nachanganyikiwa yaani Kuna muda nakuwa Kama chizi sjui kwanini Hali hi naipata.

Upo location gani Chief?
 
Sasa unataka tukuambie nini, kwani hujijuwi kuwa wewe ni muhuni tayari?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…