Inategemea mahitaji yako na level ya security unayotaka. Wana Security cloud, Internet Security, Anti - Virus, na wana Total Security. Ant - Virus bei huwa ipo chini.. ila hizo zingine bei ipo juu.. ukitaka OG nunua kupitia web yao wenyeweWadau habari za majukumu kwa muda mrefu nimekuwa napata changamoto sijui wenzangu mmewezaje kupata hii kaspersky antivirus kwa ajiri ya biashara nikiangalia bei za mtandaoni naona ya pc 10 ni $280 nikija mtaani kuna watu wanauza cd ya pc1 hadi pc3 kwa 30,000/= ya mwaka mzima nashindwa kujua wao wanafanyaje ili kupata faida msaada na hitaji hii huduma ya kaspersky antivirus kwa ajili ya biashara sihitaji cracked nahitaji connection wa hili jambo maana ni changamoto kwenye huduma zangu.
Si kila kitu kilichopo kwenye cd ni og, hata mimi naweza download kaspersky torrent na kuburn kwenye cd nikauza.Wadau habari za majukumu kwa muda mrefu nimekuwa napata changamoto sijui wenzangu mmewezaje kupata hii kaspersky antivirus kwa ajiri ya biashara nikiangalia bei za mtandaoni naona ya pc 10 ni $280 nikija mtaani kuna watu wanauza cd ya pc1 hadi pc3 kwa 30,000/= ya mwaka mzima nashindwa kujua wao wanafanyaje ili kupata faida msaada na hitaji hii huduma ya kaspersky antivirus kwa ajili ya biashara sihitaji cracked nahitaji connection wa hili jambo maana ni changamoto kwenye huduma zangu.
Na activation key ukapata. Maana hili kufanya activation lazima uwe onlineSi kila kitu kilichopo kwenye cd ni og, hata mimi naweza download kaspersky torrent na kuburn kwenye cd nikauza.
Taarifa sahihi ni za kwenye website yao tu.
Ndio mkuu zipo key za magumashi nazo zinauzwa sema bei chee. Mfano ukienda ebay unazipata hadi dola 5 na kuna machimbo forums mbalimbali unazipata rahisi zaidi. Kifupi vitu vyote maarufu windows, office, netflix, etc vina keys za bei nafuu chini ya dola 5.Na activation key ukapata. Maana hili kufanya activation lazima uwe online
kitochi
We ndo uniambie unahitaji bei gani mkuuUna kiasi gani mfukoni nikupe inayotumiwa na taasisi kubwa tu ya serikali
Sawa hizo za torrent nazijua insue wao wanatoa wapi key za mwaka mzima mimi naona nyingi miezi 3Si kila kitu kilichopo kwenye cd ni og, hata mimi naweza download kaspersky torrent na kuburn kwenye cd nikauza.
Taarifa sahihi ni za kwenye website yao tu.
Nipe beiKaspersky Anti-Virus ndio bei chee, zipo za aina tofauti-tofauti so bei zake pia ni tofauti, Kaspersky Total Security ndio unapata features zote.View attachment 1414915
Sawa nipe site naonaga group telegram ila nikiziweka zinazinguaNdio mkuu zipo key za magumashi nazo zinauzwa sema bei chee. Mfano ukienda ebay unazipata hadi dola 5 na kuna machimbo forums mbalimbali unazipata rahisi zaidi. Kifupi vitu vyote maarufu windows, office, netflix, etc vina keys za bei nafuu chini ya dola 5.
$2.5 kaspersky
Asante sana mkuu ndo raha ya kuuliza acha niwatembelee$2.5 kaspersky
https://www.mpgh.net/forum/showthread.php?t=1485712
Kwenye hawa jamaa kuna
1. Crack account ambayo ina warranty mfano unaweza nunua warranty ya mwaka ikizingua ndani ya mwaka anakubadilishia.
2. Genuine account shared, account moja iliokuwa inauzwa bei ghali gharama zake zimegawanywa kwa watu wengi.
3. Genuine account ambayo unaweza hata wewe ukashare na wenzako etc.
Hivyo unapochat nae vyema ufahamu aina ya account/key unayopewa.
Asante sana kiongozi acha nitembeleePia kuna site zinatoa list ya giveaway software bure na zingine with lowest price,huko unaweza pata hadi 1 year premium for free
Mfano leo nmekuta giveaway ya Norton,avg, McAfee zote free
Free Norton Security (100% discount) | SharewareOnSale
Sent using Jamii Forums mobile app