Hahaha daaah....aiseeTununu-Hamisa Mobeto
Tukinao-Zari
Chuchunge-Hamisa
duuTununu-Hamisa Mobeto
Tukinao-Zari
Chuchunge-Hamisa
Oooh kwa alichoandika Jolie Jolie hapo juu nimeelewa iyo TukinaoTununu ni neno la Kinyakyusa maana yake - ni kweli kabisa
Tukinao - mwanamke ambae umri umesogea
Oooh kwa alichoandika Jolie Jolie hapo juu nimeelewa iyo Tukinao
hayo maneno yanatumiwa huko insta na timu wemaHamisa vs timu Zari
Tukinao ni jina la bibi mmoja aliwahi kushiriki mashindano ya BIBI BOMBA,na kwa kuwa Zari ana umri mkubwa akapewa jina la uyo mbibi yani TukinaoTUKINAO—AJUZA
Umetaka maana ya kwenye kamusi au maana ya kwanini yanatumika sana mitandaoni?Kwenye KAMUSI hamna iyo
Hayo waulize vodacomOngezea na
Yajayo yanafurahisha
Tununu- vizuriTununu ni neno la Kinyakyusa maana yake - ni kweli kabisa
Tukinao - mwanamke ambae umri umesogea
Asante mwalafyaleTununu- vizuri
Naloli- kweli kabisa
Rudi nyumbani kumenoga.Ongezea na
Yajayo yanafurahisha
Rudi nyumbani kumenoga.