Naomba kujua kuhusu sheria ya uzururaji na jinsi ilivyosimamiwa

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Habari wakuu. Nimekuwa nikisikia kuhusu kuwepo kwa hii sheria ya uzembe na uzururaji miaka ya huko nyuma. Nasikia sasa imebadilika.

Naomba kufahamu sheria hii ilivyoanza na jinsi ilivyosimamiwa. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom