yap upo sawa kbs akitoka mwanza ashuke dodoma atafika mapema na kukata tkt basi la ANOTHER G au SUPER FEO za NJOMBE - DODOMA tena mapema sana kama masa 7 hivi utakuwa ushafika njombe kutoka dodoma
vyumba bei poa sana kwani zipo kati ya 15,000 -20,000 vyumba vya hali ya chini na 30,000 hadi. 50,000 vyumba vya standard ambvyo vina tiles TNG au GIMSAM. nk
maji yapo ya kutosha kwani kuna vyanzo vingi vya maji kama MTO RUHUJI, BWAWA LA TANWAT, MTO HAGAFILO na mtaani maji ni ya mgao kama kawaida.
lakin angalizo NJOMBE ndio mkoa unao ongoza kwa HIV tanzani kuwa makini
lakin pia kwakuongezea ni kwamba NJOMBE ni mkoa wenye utajiri wa matunda ya aina Mbali mbali bila kisahau NUMBU, MIKUSU,MISASATI, MISADA NK
Pia NJOMBE pesa yake sio ya msimu maana pesa wakati wote ipo kwakuwa kila msimu una kitu chake kama viazi, mahindi, bila kusahau zao la MBAO. ambalo halina msimu. lenyewe lipo wakati wote hivyo kuhusu PESA. na mzungiko wa pesa NJOMBE. ni wakutosha na pesa ipo hatari.
mimi nimeishi huko moaka 7 napafahamu kikamilifu