Naomba kujua kuhusu mkoa wa Njombe

Naomba kujua kuhusu mkoa wa Njombe

Mkuu, kwanini asipande basi la Mbeya-Songea akashuke Njombe moja kwa moja? Nadhani itakuwa vyema akipanda la kwenda Songea. Halafu, hakuna basi la Mwanza-Iringa/Njombe?
Ni vema pia me sijasema basis LA mwanza njombe ni mwanza mbeya ndo Nilkuwa nasemea lakini pia ni vizuri akifata wazo lako coz itakuwa rahisi zaidi
 
Ohh! vizuri kiongozi vipi mjini upatikanaji wa maji upoje huko!
Maji sio shida,nyumba za kupanga sio shida umeme upo na kumechangamka sana,watu kweli ni wakarim kwa kias kikubwa,asilimia kubwa watu wapo busy na mambo yao,ardhi ya kilimo daaah ipo poa sana,hali ya hewa nzur sana haswa kipind hiki cha barid,ndo mkoa mpya mpya so ukijitunza na kufanya kilicho kupeleka utapata ubachostahili..

Huku ndo kwenye ule msitu mweusi kama umeshawah kuusikia,bia ya serenget lite ni adim adim[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,bar kukaa mpka asbuhi kitu cha kawaida,kifup ni sehem nzur sana
 
Nimekuelewa sana mkuu!
 
Mkuu, kwanini asipande basi la Mbeya-Songea akashuke Njombe moja kwa moja? Nadhani itakuwa vyema akipanda la kwenda Songea. Halafu, hakuna basi la Mwanza-Iringa/Njombe?

Kutoka Mwanza kwenda Njombe ni lazima upite Makambako. Makambako ndo junction ya kwenda Mbeya na Njombe
 
Kutoka Mwanza kwenda Njombe ni lazima upite Makambako. Makambako ndo junction ya kwenda Mbeya na Njombe
Hilo nalifahamu Mkuu na sijalibishia popote pale. Hapo nilikuwa nazungumzia kuelekea Songea ili ashuke Njombe.
 
Linafika mpaka mbeya ila wawez kushukia Iringa au Makambako ambapo utatafuta basi jingine LA kwenda njombe
safi sana, Nauli ikoje mkuu, na je nikipanda hilo kulala njiani kupo ama nitafika siku hiyo hiyo?
 
Hakuna basi la kutoka Mwanza mpaka Njombe, Mabasi ya kutoka mwanza kwenda mbeya yanalala makambako then siku ya pili yanamalizia safari kwenda Mbeya. Ushauri wangu
1. Panda basi shuka dodoma then siku ya pili panda Superfeo linalotoka Dodoma to Songea au Another G linalotoka Dodoma to Njombeutashuka Njombe( Hii hutachoka sana na safari maana utakua umepata muda mzuri wa kupumzika na utakua umepanda basi zuri)
2. Panda basi la kutoka Mwanza to Mbeya then utashuka makambako ingawa itakua usiku sana utalala pale. siku ya pili utapanda coaster kutoka makambako to Njombe ambayo ni km 60 lami mwendo kama wa saa 1. ( Hii utafika usiku sana makambako ukiwa umechoka na mabasi haya sio mazuri sana unaweza kua na uchovu wa kutosha na wakati mwingine basi kama sio imara sana mnaweza msitoboe hata Iringa kwa siku hiyo. Mabasi kama Best line, Primiera ndo hayo)
 
Hakuna bus la Mwanza - Iringa/Njombe. hapo achague kushuka kati ya Iringa na Makambako kutegemea na muda atakaowasili maeneo hayo ndo ataweza kupata usafiri wa Njombe. pia yapo ya Dodoma - Njombe, Huu ni msimu wa baridi hadi kufikia nyuzi joto 11 usiku jiandae. Maisha ni ya kawaida, ukarimu wako na kujishusha utakusaidia sana.
 
safi sana, Nauli ikoje mkuu, na je nikipanda hilo kulala njiani kupo ama nitafika siku hiyo hiyo?
Kama utashuka Iringa,itakuwa kweny mida ya saa tatu au saa mbili itakulazimu utafute vyumba vya wageni,Kama utaenda mpaka makambako mtalala mafinga mara nyingi wakilala mafinga watu hushauriw kutokulala gesti kwani safari huanza tena saa 11 alfajili.Kutoka Mwanza mpaka mbeya elfu 50,ukishuka Iringa elfu 38 mpaka 40,ukishuka Makambako ni elfu 45
 
Salaam wanaJf,

Mwishoni mwa wiki hii nina safari ya kwenda mkoa wa Njombe nitakuwa huko kwa mda mrefu kidogo, kwa hiyo naenda kuanza makazi mapya natokea mwanza, sijawahi kufika huko.

Natamani/napenda kujua usafiri wa kutoka mwanza hadi huko kwanza ni gari ipi inayofika huko na ubora wa gari lenyewe, barabara ikoje kwa sababu nitakuwa na mizigo ambayo ikipata barabara mbaya inaweza isifike ikiwa salama, Ni masaa mangapi kutoka mwanza hadi huko,

Hali ya hewa ikoje, watu wake je! vipi kuhusu upatikanaji wa maji, maisha yakoje huko? upatikanaji wa nyumba za kuishi gharama zikoje?

Msaada wenu wakuu naamini humu kuna wenyeji wazaliwa na wakazi wa huko!
Kama wewe msukuma watu wa huko watakuwa kama wanao wafupi
 
Kama utashuka Iringa,itakuwa kweny mida ya saa tatu au saa mbili itakulazimu utafute vyumba vya wageni,Kama utaenda mpaka makambako mtalala mafinga mara nyingi wakilala mafinga watu hushauriw kutokulala gesti kwani safari huanza tena saa 11 alfajili.Kutoka Mwanza mpaka mbeya elfu 50,ukishuka Iringa elfu 38 mpaka 40,ukishuka Makambako ni elfu 45
Ahaa! sawa mkuu lakini kipi bora zaidi nishuke Iringa au makambako?
 
Hakuna bus la Mwanza - Iringa/Njombe. hapo achague kushuka kati ya Iringa na Makambako kutegemea na muda atakaowasili maeneo hayo ndo ataweza kupata usafiri wa Njombe. pia yapo ya Dodoma - Njombe, Huu ni msimu wa baridi hadi kufikia nyuzi joto 11 usiku jiandae. Maisha ni ya kawaida, ukarimu wako na kujishusha utakusaidia sana.
Ila akilala iringa ndo mwake zaid,,kwanza asbh naakamata chuma buku saba fasta tu mapeeeeema umetoboa njombe
 
Safiri na kondommn zako. Baridi ya Njombe lazima upate blanketi chapa mtu. Hasa ukishakula nyama choma na 2 za moto( kule hakuna bia za friji ) halafu totozzz zinakuandama zenyewe. Haluuh. Ila hawazipigi maji mara kwa mara kwasababu ya baridi. Njombe utainjoi sana mkuu.
 
Back
Top Bottom