Naomba kujua kuhusu mkoa wa Njombe

Naomba kujua kuhusu mkoa wa Njombe

Ila hapo kwenye ubwabwa/wali kama upatikanaji wake ni mgumu ndo mateso sasa mimi natoka kanda ya ziwa ambapo kula ubwabwa ndo msosi wetu wa kila siku hasa sisi wakulima!
ubwabwa unapatikana sokon na kila mahali kwa uzur kabisa sema n hela yako tu boss
 
Salaam wanaJf,

Mwishoni mwa wiki hii nina safari ya kwenda mkoa wa Njombe nitakuwa huko kwa mda mrefu kidogo, kwa hiyo naenda kuanza makazi mapya natokea mwanza, sijawahi kufika huko.

Natamani/napenda kujua usafiri wa kutoka mwanza hadi huko kwanza ni gari ipi inayofika huko na ubora wa gari lenyewe, barabara ikoje kwa sababu nitakuwa na mizigo ambayo ikipata barabara mbaya inaweza isifike ikiwa salama, Ni masaa mangapi kutoka mwanza hadi huko,

Hali ya hewa ikoje, watu wake je! vipi kuhusu upatikanaji wa maji, maisha yakoje huko? upatikanaji wa nyumba za kuishi gharama zikoje?

Msaada wenu wakuu naamini humu kuna wenyeji wazaliwa na wakazi wa huko!
PANDA MWANZA DODOMA...
ASUBUHI DODOMA PANDA DODOMA NJOMBE
 
AU PANDA KIMOTCO mwanza iringa then asubuhi panda bus ya njombe
 
anakupotosha mwehu huyo...
Niambie mkuu chochote unachokijua kuhusu mkoa huo chaweza kunisaidia kwa namna moja ama nyingine ili kuweza kuhimili maisha ya huko!

Karibu!
 
Kufika njombe ni siku mbili chukua gari ya kutoka mwanza adi mbeya ambayo itakufikisha mida ya SAA moja hivi usiku ukipanda asubuh SAA kumi na mbili utashukia makambako ambapo utapanda gari nyingne ya kukufikisha njombe na pia andaa makoti mablanket ya kutosha sababu kuna bardi Kali San na watu wa huko ni wakarmu tu karbu nyanda za juu mkuu
acha ushamba yaan utoke mwanza then mbeya then makambako,? hivi kichwani zimo,?
akitok mwanz alale makambko then asubh apande gar za njombe nAuli 5000 tu
nimekushAngAa mno
 
Tabia utazikuta huko huko.. Kuna baa maarufu.. Moja ni Giraffe, nyingine Sangamela na ya tatu inaitwa Ikweta na Tale. Ukianzia hapo Graffe ambapo ndo kiota kikuu kwa sasa utashangaa wahudumu sometimes ni wengi kuliko wateja.. naposema ni wengi ni wengi hasa.. Pamoja na ile baridi kali wahudumu wanakupigia viguo flani flani hivi ambavyo usipokuwa vizuri vinamhamisha roho wako unaanza kuwaza kwa kichwa kile kingine...safari njema
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] haya mkuu pamoja sana!
 
acha ushamba yaan utoke mwanza then mbeya then makambako,? hivi kichwani zimo,?
akitok mwanz alale makambko then asubh apande gar za njombe nAuli 5000 tu
nimekushAngAa mno
We ujanielewa apande gar LA mbeya lakini ashukie makAmbako ndo nilchosema mm
 
Salaam wanaJf,

Mwishoni mwa wiki hii nina safari ya kwenda mkoa wa Njombe nitakuwa huko kwa mda mrefu kidogo, kwa hiyo naenda kuanza makazi mapya natokea mwanza, sijawahi kufika huko.

Natamani/napenda kujua usafiri wa kutoka mwanza hadi huko kwanza ni gari ipi inayofika huko na ubora wa gari lenyewe, barabara ikoje kwa sababu nitakuwa na mizigo ambayo ikipata barabara mbaya inaweza isifike ikiwa salama, Ni masaa mangapi kutoka mwanza hadi huko,

Hali ya hewa ikoje, watu wake je! vipi kuhusu upatikanaji wa maji, maisha yakoje huko? upatikanaji wa nyumba za kuishi gharama zikoje?

Msaada wenu wakuu naamini humu kuna wenyeji wazaliwa na wakazi wa huko!
Mimi ni mwenyeji wa Njombe ila nipo Mwanza kwa sasa na wiki iliyoisha tuu nilikuwa Njombe. Kutoka Mwanza mpaka Njombe inabidi upande magari yanayoenda Mbeya yapo mengi kama super Sami, Chakito, Premier na mengineyo. Utatumia siku mbili kufika ukitoka mwanza mtalala sehemu inaitwa Mafinga kama mtawahi au Iringa baada ya kuondoka asubuhi mtafika makambako baada ya masaa 2 tuu ambapo utashuka wewe usifike Mbeya. Hapo makambako kuna magari mengi ya kwenda Njombe ni almost saa moja hadi moja na nusu kutoka Mk mpaka Njombe.

Kuhusu hali ya hewa kuna baridi sana so jiandae kwa makoti blanketi za kutosha. Maji yapo sio tatizo kabisa ila itategemea ni mtaa gani utaenda kuishi. kuhusu bei za nyumba hapo nisikudanganye ila najua zitakuwa affordable kutokana na bajeti yako na aina ya nyumba utakyoitaka.

Vyakula vipo vya kutosha sana na ni bei rahisi maisha ni mazuri sana Njombe natumai utapafurahia sana. maisha sio ghali kiasi kwamba unaweza endesha kwa gharama zozote.

Karibu sana Njombe mkuu....Kamwene in advance[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Kuna kpnd kulikuwa na basi la Mwanza - Njombe kampun Ya Isamilo km sikosei. Fika nyegez ulizia km bdo lipo hilo bus
 
Mkuu, kwanini asipande basi la Mbeya-Songea akashuke Njombe moja kwa moja? Nadhani itakuwa vyema akipanda la kwenda Songea. Halafu, hakuna basi la Mwanza-Iringa/Njombe?
Acha bangi, jamaa Anatole Mwanza
 
Mkoa wa njombe ni mkoa unaongoza kwa baridi Tanzania, Panda la Mwanza-Mbeya, busi litalala Mafinga then kesho yake utaamkia Makambako, pale utapanda gari la kwenda njombe mjini ni kama Tsh 3000 (elfu tatu)....

NB: Usisahau Mablanketi yale ya bei ya juu zaidi, makoti kama yale ya bodaboda.....

JIKINGE NA UKIMWI mkuu, UKIMWI ni nje nje mkuu
Hahaha
Ya bodaboda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Salaam wanaJf,

Mwishoni mwa wiki hii nina safari ya kwenda mkoa wa Njombe nitakuwa huko kwa mda mrefu kidogo, kwa hiyo naenda kuanza makazi mapya natokea mwanza, sijawahi kufika huko.

Natamani/napenda kujua usafiri wa kutoka mwanza hadi huko kwanza ni gari ipi inayofika huko na ubora wa gari lenyewe, barabara ikoje kwa sababu nitakuwa na mizigo ambayo ikipata barabara mbaya inaweza isifike ikiwa salama, Ni masaa mangapi kutoka mwanza hadi huko,

Hali ya hewa ikoje, watu wake je! vipi kuhusu upatikanaji wa maji, maisha yakoje huko? upatikanaji wa nyumba za kuishi gharama zikoje?

Msaada wenu wakuu naamini humu kuna wenyeji wazaliwa na wakazi wa huko!
Mkuu hii route mimi nina uzoefu nayo, nakushauri yafuatayo.

Kwanza niungane na wanaokushauri kupanda mabasi ya mwanza -Dodoma. Hii ni kwa sababu una mizigo hivyo utafika Dodoma mapema, kuhakiki usalama wa mizigo yako na kuiweka tayari kwa ajili ya siku inayofuata. Ukiwa na mizigo tena sehemu usiyoifahamu unahitaji kufika mapema.

Kutoka Dodoma panda mabasi ya kwenda Songea halafu teremkia njombe stand. Hii pia itakusaidia kufika mapema kabisa tena mchana na kuweka vitu vyako sawa ikiwemp kupata sehemu ya kijiegesha.

Hii ni tofauti na ukiteremkia Iringa au makambako, itakuwa ni late hours, eneo hulijui, una mizigo na huna mwenyeji. Risk ya kupoteza mizigo ni kubwa and it's too drudgery.

Kuhusu barabara usiwe na wasiwasi, barabara ni nzuri mwanzo mwisho.
 
Ahaa! sawa mkuu lakini kipi bora zaidi nishuke Iringa au makambako?
Kama unasafiri kwenda Njombe toka Mwanza shukia Makambako, hata kama utakala Mafinga. Cost effective!!
 
nenda,kupo vizuri sana,unapoenda hakikisha una mablanketi na sweta zito,kuna ukimwi huko,hatari!!katika watu 10,watu 7 wanao,hasa wanawake!wenyeji kwa asili ni wakulima,si rahisi kuwaona wakizagaa zagaa ovyo mida ya asubuhi hadi jioni,wao hulima kuanzia alfajiri hadi saa 12 jioni!,wenyeji wanakunywa sana pombe hasa mida ya jioni baada ya kutoka shamba!kuna ngono holela!!kama we ni mchawi,usiende!wao huua wachawi kwa kuwakata kwa mapanga!!mkuu,usije kushangaa kijana mdogo tu labda miaka 20 hadi 30,anamiliki jumba la maana au magari ya kifahari!!vijana wadogo huwa ni matajiri sana huko!!..ktk suala la maji huko hakuna shida,kila baada ya hatua 100 kuna bomba la maji limejengwa,kuchota ni bure,chakula kikuu ni viazi mviringo,japo kuna vyakula vingi na ardhi yao imebarikiwa kukubali mazao mengi,lakini ubwabwa/wali huko ni anasa...
kama huendani na baridi,huko ndo kwenyewe..!!kuna bariiiidi huko,hadi vidole vinaganda!
Baridi la pale ni hatari sana, kama sa hz inafikia hadi 11 sio mchezo
 
Back
Top Bottom