Naomba kujua kuhusu mkoa wa Njombe

Naomba kujua kuhusu mkoa wa Njombe

Safiri na kondommn zako. Baridi ya Njombe lazima upate blanketi chapa mtu. Hasa ukishakula nyama choma na 2 za moto( kule hakuna bia za friji ) halafu totozzz zinakuandama zenyewe. Haluuh. Ila hawazipigi maji mara kwa mara kwasababu ya baridi. Njombe utainjoi sana mkuu.
Mademu wa kule wakikusalimia goti mpaka chini wanaongea kwa utaratibu kama vile wanaona aibu na hawajawahi fanya hayo mambo. Heshima watakayokupa unaweza jiona upo peke yako unayegegeda sasa tembea peku uwone upupu unao
 
nenda,kupo vizuri sana,unapoenda hakikisha una mablanketi na sweta zito,kuna ukimwi huko,hatari!!katika watu 10,watu 7 wanao,hasa wanawake!wenyeji kwa asili ni wakulima,si rahisi kuwaona wakizagaa zagaa ovyo mida ya asubuhi hadi jioni,wao hulima kuanzia alfajiri hadi saa 12 jioni!,wenyeji wanakunywa sana pombe hasa mida ya jioni baada ya kutoka shamba!kuna ngono holela!!kama we ni mchawi,usiende!wao huua wachawi kwa kuwakata kwa mapanga!!mkuu,usije kushangaa kijana mdogo tu labda miaka 20 hadi 30,anamiliki jumba la maana au magari ya kifahari!!vijana wadogo huwa ni matajiri sana huko!!..ktk suala la maji huko hakuna shida,kila baada ya hatua 100 kuna bomba la maji limejengwa,kuchota ni bure,chakula kikuu ni viazi mviringo,japo kuna vyakula vingi na ardhi yao imebarikiwa kukubali mazao mengi,lakini ubwabwa/wali huko ni anasa...
kama huendani na baridi,huko ndo kwenyewe..!!kuna bariiiidi huko,hadi vidole vinaganda!
 
Ahsante sana mkuu!
 
Shukrani sana wakuu hii ndo JF ninayoijua hakika iendelee kuishi milele na wengine kama mimi ambao hawajui wapate kujua kila wanachohitaji!

Naendelea pia kusoma maoni na ushauri wenu wakuu!
 
nenda,kupo vizuri sana,unapoenda hakikisha una mablanketi na sweta zito,kuna ukimwi huko,hatari!!katika watu 10,watu 7 wanao,hasa wanawake!wenyeji kwa asili ni wakulima,si rahisi kuwaona wakizagaa zagaa ovyo mida ya asubuhi hadi jioni,wao hulima kuanzia alfajiri hadi saa 12 jioni!,wenyeji wanakunywa sana pombe hasa mida ya jioni baada ya kutoka shamba!kuna ngono holela!!kama we ni mchawi,usiende!wao huua wachawi kwa kuwakata kwa mapanga!!mkuu,usije kushangaa kijana mdogo tu labda miaka 20 hadi 30,anamiliki jumba la maana au magari ya kifahari!!vijana wadogo huwa ni matajiri sana huko!!..ktk suala la maji huko hakuna shida,kila baada ya hatua 100 kuna bomba la maji limejengwa,kuchota ni bure,chakula kikuu ni viazi mviringo,japo kuna vyakula vingi na ardhi yao imebarikiwa kukubali mazao mengi,lakini ubwabwa/wali huko ni anasa...
kama huendani na baridi,huko ndo kwenyewe..!!kuna bariiiidi huko,hadi vidole vinaganda!
Ila hapo kwenye ubwabwa/wali kama upatikanaji wake ni mgumu ndo mateso sasa mimi natoka kanda ya ziwa ambapo kula ubwabwa ndo msosi wetu wa kila siku hasa sisi wakulima!
 
Salaam wanaJf,

Mwishoni mwa wiki hii nina safari ya kwenda mkoa wa Njombe nitakuwa huko kwa mda mrefu kidogo, kwa hiyo naenda kuanza makazi mapya natokea mwanza, sijawahi kufika huko.

Natamani/napenda kujua usafiri wa kutoka mwanza hadi huko kwanza ni gari ipi inayofika huko na ubora wa gari lenyewe, barabara ikoje kwa sababu nitakuwa na mizigo ambayo ikipata barabara mbaya inaweza isifike ikiwa salama, Ni masaa mangapi kutoka mwanza hadi huko,

Hali ya hewa ikoje, watu wake je! vipi kuhusu upatikanaji wa maji, maisha yakoje huko? upatikanaji wa nyumba za kuishi gharama zikoje?

Msaada wenu wakuu naamini humu kuna wenyeji wazaliwa na wakazi wa huko!
Au panda gari la kuishia dodoma then utapanda gari ya njombe au ya Songea. Bt magari mengi ya kuanzia mwanza hadi Mbeya yamechoka. Nenda hadi utapanda A.G ya NJOMBE AU SUPER FEO YA SONGEA na kuanzia saa tisa unakuwa njombe
 
Salaam wanaJf,

Mwishoni mwa wiki hii nina safari ya kwenda mkoa wa Njombe nitakuwa huko kwa mda mrefu kidogo, kwa hiyo naenda kuanza makazi mapya natokea mwanza, sijawahi kufika huko.

Natamani/napenda kujua usafiri wa kutoka mwanza hadi huko kwanza ni gari ipi inayofika huko na ubora wa gari lenyewe, barabara ikoje kwa sababu nitakuwa na mizigo ambayo ikipata barabara mbaya inaweza isifike ikiwa salama, Ni masaa mangapi kutoka mwanza hadi huko,

Hali ya hewa ikoje, watu wake je! vipi kuhusu upatikanaji wa maji, maisha yakoje huko? upatikanaji wa nyumba za kuishi gharama zikoje?

Msaada wenu wakuu naamini humu kuna wenyeji wazaliwa na wakazi wa huko!
Nichek Pm nikuelekeze vzr zaidi
 
Hakuna bus la Mwanza - Iringa/Njombe. hapo achague kushuka kati ya Iringa na Makambako kutegemea na muda atakaowasili maeneo hayo ndo ataweza kupata usafiri wa Njombe. pia yapo ya Dodoma - Njombe, Huu ni msimu wa baridi hadi kufikia nyuzi joto 11 usiku jiandae. Maisha ni ya kawaida, ukarimu wako na kujishusha utakusaidia sana.
basi la mwana iringa lipo ismilo shida sio uri sana.
 
kuhusu safari kama upo vr kifedha panda basi la mwanza-dodoma lala dodoma kisha nenda njombe asubuhi na mabasi ya super feo ya songea au kuna basi linaitwa ANOTHER G au KALUBANDIKA hayo yanafika njombe moja kwa moja.
kama hauna hela panda magari ya mwanza-mbeya linitwa premier au best line mtalala mafinga kisha mtafika makambako sa 12:30 asubuhi kisha utachukua gari a kwenda njombe hapo nauli ni tshs.45,000 tu.
mambo yatokanayo na mkoa wa njombe
1.ndio mkoa unaongoza kwa baridi Tanzania nzima hasa njombe mjini-ni mwendo wa blanketi mwaka mizima
2.ni namba moja kwa ugonjwa wa UKIMWI,magonjwa mengine sio rahis kuumwa kutokana na mazingira ya baridi
3.mkoa unaongoza kwa uzalishaji wa mbao takribani asilimia 60 ya mbao zote zinatokea mkoa huo
4.pia wanazalisha viazi mviringo kwa wingi na ndio zao kuu la mkoa huo
5.njombe vitu ni gharama sana tofauti na mikoa mingine kuanzia kwenye mahitaji ya nyumbani hadi viwanja vya kujenga-hii ni kutokana na kuwa na wafanyabishara wengi hasa wakinga.
6.mazingira ya kufanya bishara njombe ni magumu sana hasa ukiwa mgeni,watu wa huko wana umimi sana pia upatikanaji wa milango ya biashara ni mgumu sio kama inavyozoeleka kwenye mikoa mingine.
7.uzuri wa njombe ni kuwa hamna MBU wala Nzi
 
Ahsante mkuu naenda Njombe mjini, nimeshtuka kidogo nilipoona mwanaJf mwenzetu anasema mpaka nifike mbeya!!
Panda Basi Mpaka Dodoma,then kutoka Dodoma Panda Basi la Njombe moja Kwa Moja lipo Basi la Kalubandika
 
Mademu wa kule wakikusalimia goti mpaka chini wanaongea kwa utaratibu kama vile wanaona aibu na hawajawahi fanya hayo mambo. Heshima watakayokupa unaweza jiona upo peke yako unayegegeda sasa tembea peku uwone upupu unao
Mkuu. Upupu tena ndio nini. Kuna mshawasha huko ?
 
Mkoa wa njombe ni mkoa unaongoza kwa baridi Tanzania, Panda la Mwanza-Mbeya, busi litalala Mafinga then kesho yake utaamkia Makambako, pale utapanda gari la kwenda njombe mjini ni kama Tsh 3000 (elfu tatu)....

NB: Usisahau Mablanketi yale ya bei ya juu zaidi, makoti kama yale ya bodaboda.....

JIKINGE NA UKIMWI mkuu, UKIMWI ni nje nje mkuu
 
Ila hapo kwenye ubwabwa/wali kama upatikanaji wake ni mgumu ndo mateso sasa mimi natoka kanda ya ziwa ambapo kula ubwabwa ndo msosi wetu wa kila siku hasa sisi wakulima!
Usiwaze mzee, ukiwa na buku utakula chipusi hadi nyingine utazioga, ukiona chai ya maziwa haitoi mvuke usiifakamie ukajua imepoa utachubuka midomo, usishangae mtu anakuambia ana mwezi hajaoga, inakaribia wiki sasa jua halijaonekana, ni vizuri ukaisoma zile takwimu za TACAIDS, kutokana na lile baridi kondom huwa zinapasukamo mnoooo, KAFANYE KILICHOKUPELEKA
 
Hakuna basi la kutoka Mwanza mpaka Njombe, Mabasi ya kutoka mwanza kwenda mbeya yanalala makambako then siku ya pili yanamalizia safari kwenda Mbeya. Ushauri wangu
1. Panda basi shuka dodoma then siku ya pili panda Superfeo linalotoka Dodoma to Songea au Another G linalotoka Dodoma to Njombeutashuka Njombe( Hii hutachoka sana na safari maana utakua umepata muda mzuri wa kupumzika na utakua umepanda basi zuri)
2. Panda basi la kutoka Mwanza to Mbeya then utashuka makambako ingawa itakua usiku sana utalala pale. siku ya pili utapanda coaster kutoka makambako to Njombe ambayo ni km 60 lami mwendo kama wa saa 1. ( Hii utafika usiku sana makambako ukiwa umechoka na mabasi haya sio mazuri sana unaweza kua na uchovu wa kutosha na wakati mwingine basi kama sio imara sana mnaweza msitoboe hata Iringa kwa siku hiyo. Mabasi kama Best line, Primiera ndo hayo)
No.1 Hii ndo ushauri mzuri coz hutochoka na usafiri ukifika Dom ni uhakika
 
Ndiyo mkoa unao ongoza kwa ukimwi hapa Tanzania na pia si kila nyama uionayo hotelini ama mtaani ni ya ng'ombe au mbuzi, kule wanakula sana paka na mbwa kama hawana akili nzuri.
 
Ila hapo kwenye ubwabwa/wali kama upatikanaji wake ni mgumu ndo mateso sasa mimi natoka kanda ya ziwa ambapo kula ubwabwa ndo msosi wetu wa kila siku hasa sisi wakulima!
hahahaha....mkuu!!,,wao ubwabwa/wali hawahesabii kama chakula,wakila wanasema hawashibi,kwa hiyo usishangae wakipika wali mda huohuo wanapika na ugali,vyote wanakula kwa pamoja,lakini wenyeji ni watu safi sana!
 
nenda,kupo vizuri sana,unapoenda hakikisha una mablanketi na sweta zito,kuna ukimwi huko,hatari!!katika watu 10,watu 7 wanao,hasa wanawake!wenyeji kwa asili ni wakulima,si rahisi kuwaona wakizagaa zagaa ovyo mida ya asubuhi hadi jioni,wao hulima kuanzia alfajiri hadi saa 12 jioni!,wenyeji wanakunywa sana pombe hasa mida ya jioni baada ya kutoka shamba!kuna ngono holela!!kama we ni mchawi,usiende!wao huua wachawi kwa kuwakata kwa mapanga!!mkuu,usije kushangaa kijana mdogo tu labda miaka 20 hadi 30,anamiliki jumba la maana au magari ya kifahari!!vijana wadogo huwa ni matajiri sana huko!!..ktk suala la maji huko hakuna shida,kila baada ya hatua 100 kuna bomba la maji limejengwa,kuchota ni bure,chakula kikuu ni viazi mviringo,japo kuna vyakula vingi na ardhi yao imebarikiwa kukubali mazao mengi,lakini ubwabwa/wali huko ni anasa...
kama huendani na baridi,huko ndo kwenyewe..!!kuna bariiiidi huko,hadi vidole vinaganda!
Uongo mtupu!!
 
Back
Top Bottom