Naomba kujua kuhusu hawa-: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua kuhusu hawa-:

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Bonya, Oct 3, 2012.

 1. Bonya

  Bonya Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  hi.jf member naomba kujua nn hatma ya walokuwa na defects kwenye loans app wakaambiwa warekebishe wapewe loan vp mbona bodi kmya au ndo wamewapotezea? Mwenye kujua kuhusiana na hili a2juze.. Thanx.!
   
 2. m

  mhando shebi New Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi mwenyewe inanihusu sana, leo nimetoka loan board nikajibiwa kuwa majina yetu yatatolewa mwishoni mwa mwezi huu so tuendelee kusubiri
   
 3. Bonya

  Bonya Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  dah! Pole sana lakin km ndo mwisho wa mwez huu na asilimia kubwa ya vyuo vinafungua mwanzo wa mwez huu so 2taishi vp huko vyuoni.? Jaman loan board tuhurumieniii..!
   
Loading...