Naomba kujua kuhusu gypsum board

Naomba kujua kuhusu gypsum board

Mkuu nunua Gyproco huyu ndio anatisha kwa soko la sasa...

Anaemfuata hapo ni Standard, mimi kwangu nikifunga Standard ziko vizuri pia...

NB: Usinunue Gypsum board kutoka naskia si nzuri hata wakati wa kukata zinamong'onyoka (Low quality)...

Kwa ushauri wangu ukitaka nyumba yako iwe vizuri weka gyproco au standard...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao jamaa ni shida. Gypsum board unakata na msumeno kama mbao na haichambuki chambuki kama nyingine
20200518_203748.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
zote zipo vizuri ila kuwa mzalendo kwa kununua kitu cha nyumbani.

Sent from my SM-G975F using Tapatalk
 
Hao jamaa ni shida. Gypsum board unakata na msumeno kama mbao na haichambuki chambuki kama nyingineView attachment 1453600

Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri sana hizo bei yake imetofoutiana na standard kwa 1000 tu..

Ila kwa upande wangu nilifunga Standard pia wako vizuri mno...

Kuna ile inayotengenezwa hapa tanzania jina linaanza na 'B' pale hakuna unaweza jikuta unapata hasara maana hata kuzikata ngumu maama nasikia ni laini sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlioweka hizo "jipsam " mmeyapatia Sana maisha
Wengine huku kwetu uswahilini Tabutupu
 
Gypsum board bora ni za Thailand ...Hayo Ma BBG na gyproc ..hata powder zake mafundi wengi hawazitaki

Nunua Gypsum board ya Thailand na Gypsum powder ya (Andika) kutoka huko huko Thailand ...utakuja kunishukuru

Mkuu hizo gypsum board za thailand ndio zina majina yapi?? maana nasikia kila mtu anasema thailand. napenda kujua majina/ Brand names
 
Back
Top Bottom