Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,044
- 25,533
Na Mimi ndiyo nasikia leo [emoji3]Alkasus ni nini mkuu?
Na Mimi ndiyo nasikia leo [emoji3]Alkasus ni nini mkuu?
[emoji3][emoji3][emoji3]Alkasus ni nini mkuu?
kinywaji fulani kipo kama kahawa au maziwa kinachouzwa na wavaa kanzu na barakhashia. Vipi umenipata mkuu!?
Alkasus ni nini mkuu?
Baharia leo utakuwa na chombo kipya?😄😄😄[emoji3][emoji3][emoji3]
Mh, moder nawewe unafuatilia!?
Na Mimi ndiyo nasikia leo [emoji3]
Huo ndio msingi wa hoja yangu, malengo yanategemeana na mnywaji mwenyewe mkuu!!Badogo kinatengenezwa na vitu gani na huwa kinanywewa kwa lengo gani?
Mkuu kwenye alkasuswi hakuna jipyaVinywaji au dozi za vitu visivyopimwa huweza kuathiri figo
Ingreients za Alkasus original sijui ni nini, ila the way zinavyouzwa inabidi kuwa na uangalifu
Asante, asante sana mkuu
Vinywaji au dozi za vitu visivyopimwa huweza kuathiri figo
Ingreients za Alkasus original sijui ni nini, ila the way zinavyouzwa inabidi kuwa na uangalifu
hapana mkuu, hii kitu ukigida leo hata baada ya siku 4 upo imara kabisa.
Baharia leo utakuwa na chombo kipya?😄😄😄
Jibu lako utapata baada ya vipimo/ kaa paleee!!
Badogo kinatengenezwa na vitu gani na huwa kinanywewa kwa lengo gani?
Tutahisi unauza tangawizi!!
Ukiiuza lazima uvae kanzu jichanganye uvae suluari na shati lako la saatini itakudodea
Shukrani
Watu wanatumia vitu ambavyo vinaharibu maini na figo ambazo kazi zake ni kuchuja sumu mwilini, hii ni kwasababu wanatumia to the high extent, kwa mfano hata tangawizi ikizidi tu sana kwenye chai inaweza kuleta vidonda vya tumbo, pilipili pia, kitunguu swaumu hushusha BP, Kahawa hupandisha BP
Kama Mkuu alivyosema hapo juu ni vizuri kutumia vitu vilivyopimwa na kuthibitishwa au tumia kwa kiasi.
Asante sana mkuu.
Mkuu kwenye alkasuswi hakuna jipya
Ni mchanganyiko wa hiliki. Abdalasini. Tangawizi. Pilipili Manga. Karafuu. Kahawa kidogo na viungo vingine vya Chai kwa hio hakuna madhara zaidi ya faida