Naomba kujua kuhusu dawa ya Alkasusu

Naomba kujua kuhusu dawa ya Alkasusu

Alkasusu, alwatan, alQaeda ,albadir, algebra wana undugu wa kimaslahi ila alkasusu ni salama kidogo kuliko hao wengine

Tupeane elimu, hizo zingine ni ngeni au mimi tu ndo mgeni..? Sharing is caring.
 
Penda kufanya mazoezi

kunywa maji ya kutosha

Diet kwa chakula utumiacho

hayo mengine ya vijiweni achana nayo mkuu.

Asante KK, mazoezi na lishe ni muhimu.... hii booster ni sehemu ya lishe pia kwa vile inahusisha viungo lishe mkuu.
 
Ni wizi mpya tu mjini, maana mchanganyiko huo wa viungo uliotaja hutumika sana kama viungo vya chai tena kwenye maziwa ndio huwa tamu zaidi na yenye ladha

Kama inasaidia mkuu sioni tatizo, huo wizi ni labda kuhusu bei.... basi wajuvi watupe ushuhuda na namna ya kujitengenezea nyumbani ili tuepuke ‘wizi’.
 
√Watu wanavyopenda hela hawachelewi kuwawekea aphrodiasics(kama Viagra) kwenye huo mchanganyiko wenu and then wakapretend kuwa ni viungo tu

√Au ni kama Placebo tu,mtu anaweza kukupa maji ya kunywa tu na kukwambia kuwa yanaongeza nguvu,na kweli ukaenda kupiga mechi vizuri
 
Ukitaka, kupiga pesa Tanzania. jitangaze kuwa unatibu upungufu wa nguvu za kiume
 
Kichwa cha habatri na ulichokiandika ni tofauti. Unasema 'ukweli' alafu umekuja na swali na wala huo ukweli wewe huujui.

Usiogope mkuu, ukweli sio lazima utoke kwangu kama ilivyozoeleka.... leo ni zamu yenu kutujuza ukweli kwenye hili.[emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom