Nimekuwa muathirika wa energy drink kwa muda, naombeni ushari tafadhali

yash_ed

Senior Member
Jan 9, 2020
142
382
Habari wakuu,

Tangia nianze kuishiriki hii kitu huu ni mwaka wa tatu nilikuwa naenda nayo vizuri kwa mwaka na nusu ya mwanzo nilikuwa naweza kui control vizuri lakini hivi sasa nimekuwa mraibu wa huyu jini energy drink nikiikosa mwili unakosa nguvu, kichwa kinaniuma hivyo bhasi baada ya kuona naelekea kuuharibu mwili wangu moyoni nikasema no energy inatosha.

Siku ya kwanza kutotumia ka energy nikaenda kazini kufika mida ya ya saa 7 nikashindwa kuendelea na kazi ambayo ilikuwa ijumaa nikaaga nikaruhusiwa tabu ikaja siku ya pili.

Siku ya pili ambyo Ni jumamosi SIKUWEZA kufanya kitu chochote mwili ulikuwa unaniuma nahisi homa sio homa yaan hamna Jambo naeza fanya hivyo hvyo Jana Jumapili.

Leo Jumatatu mwili naona hauna nguvu kichwa kinaniuma nipo ndani tu.

Wakuu MWENYE kujua dawa itakayoniondolea haya maumivu ninayoyapitia tafadhali naomba aniambie hata ushauri.
 
1701088272512.png

Utakuja nishukuru baadae
1701088326170.png

Sana
1701088350359.png
 
Hii kitu sio nililuwa addocted na mo xtra kama teja. Ilifika kipindi nikiikosa napata arosto ila mapogo ya moyo yakaanza jiende mbio nikiinywa. Nikapambana na kuiacha huu mwaka na kitu
 
Back
Top Bottom