Naomba kujua kama gharama hii ya dirisha la kioo ni sahihi

Habari wakuu!

Jamani kuna fundi hapa anataka kuniwekea madirisha ya vioo kwenye nyumba yangu lakn bei zake kwa dirisha moja la 5/6 anafanya tsh 32000 je ni bei za kawaida au ntapigwa. Naombeni msaada kujua uhalisia maana napata mashaka na hiyo bei.
Elfu 32?? Yuko cheap sana mkumbatie ikiwezekana akutengenezee hata madirisha 100 ununue
 
Back
Top Bottom