naomba kujua jinsi ya kutumia chit chat

naomba kujua jinsi ya kutumia chit chat

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
404
Wakuu kwa muda mrefi nimrkuwa nikilipita hili kutokana na kushindwa kulielewa jinsi wstu wanavyo chat je ??? Unaweza kuchat na mtu online km fb au ni pale mtu anapoandika thread uka comment ndyo mnakuwa mnachat au vp?? By the way mi natumia cm
 
Mtu anapost we unacoment au unapost wengine wanacoment.
Hakuna online pops kama fb
 
Wa kike anakaguliwa na wa kiume na wa kiume anakaguliwa na wa kike...!!

TAFAKARI


​Cc Viol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom