Naomba kujua historia ya sanamu hii iliyopo New York

Inaitwa "Statue of Liberty" ipo Manhattan, New York. Ni sanamu waliyopewa Marekani kama zawadi ya uhuru toka kwa Wafaransa. Sanamu hiyo ilijengwa na Mhandisi maarufu kutoka nchini Ufaransa Gustave Eiffel. Sanamu hiyo iliwekwa mwaka 1886 ingawa uhuru wa Marekani ulipatikana mwaka 1776.

Kwa msiomfahamu Mhandisi Gustave Eiffel, huyu ni injinia nguli ambaye ndiye amejenga ule mnara maarufu wa Jijini Paris ambao baadae ulikuja kupewa jina lake "Eiffel Tower"

Pamoja maelezo yako mazuri
Umeacha kipande kimoja very very interesting...

Hiyo sanamu licha ya kuwa kubwa na maarufu zaidi ni replica Tu ya sanamu original ambayo ipo ufaransa...
 
Inaitwa "Statue of Liberty" ipo Manhattan, New York. Ni sanamu waliyopewa Marekani kama zawadi ya uhuru toka kwa Wafaransa. Sanamu hiyo ilijengwa na Mhandisi maarufu kutoka nchini Ufaransa Gustave Eiffel. Sanamu hiyo iliwekwa mwaka 1886 ingawa uhuru wa Marekani ulipatikana mwaka 1776.

Kwa msiomfahamu Mhandisi Gustave Eiffel, huyu ni injinia nguli ambaye ndiye amejenga ule mnara maarufu wa Jijini Paris ambao baadae ulikuja kupewa jina lake "Eiffel Tower"

Pamoja maelezo yako mazuri
Umeacha kipande kimoja very very interesting...

Hiyo sanamu licha ya kuwa kubwa na maarufu zaidi ni replica Tu ya sanamu original ambayo ipo ufaransa
 
23-38-07-images.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom