Naomba kujua historia ya sanamu hii iliyopo New York

Bushmamy

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
8,848
15,219
Salama wana JF? Naomba kujua historia ya hii sanamu iliyopo huko New York City nchini America, na iliwekwa mwaka gani?

Asanteni.

images (1).jpeg

Inaitwa "Statue of Liberty" ipo Manhattan, New York. Ni sanamu waliyopewa Marekani kama zawadi ya uhuru toka kwa Wafaransa. Sanamu hiyo ilijengwa na Mhandisi maarufu kutoka nchini Ufaransa Gustave Eiffel. Sanamu hiyo iliwekwa mwaka 1886 ingawa uhuru wa Marekani ulipatikana mwaka 1776.

Kwa msiomfahamu Mhandisi Gustave Eiffel, huyu ni injinia nguli ambaye ndiye amejenga ule mnara maarufu wa Jijini Paris ambao baadae ulikuja kupewa jina lake "Eiffel Tower"
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo binti alikua ampogania uhuru kipindi hicho kabla ya uhuru, alikua anashika mwenge na kitabu hicho kama ishara ya kudai uhuru.

Kwa bahati mbaya mabeberu wakamlipua risasi akafa, kwaiyo kwa kitendo hicho marekani ikaamua kumuenzi kwa kuweka sanamu lake lilioonesha namna harakari zake zilivyokua

It's Scars
 
The Statue of Liberty is a figure of Libertas, a robed Roman liberty goddess. She holds a torch above her head with her right hand, and in her left hand carries a tabula ansata inscribed in Roman numerals with "JULY IV MDCCLXXVI" (July 4, 1776), the date of the U.S. Declaration of Independence. A broken shackle and chain lie at her feet as she walks forward, commemorating the recent national abolition of slavery.[7]The statue became an icon of freedom and of the United States, and a national park tourism destination. It is a welcoming sight to immigrants arriving from abroad.
 
T
THE STATUE OF LIBERTY
Statue of Liberty
The Statue of Liberty in New York harbour was presented in 1884 as a gift from the French Grand Orient Temple Masons to the Masons of America in celebration of the centenary of the first Masonic Republic.
She is holding the Masonic "Torch of Enlightenment". Also referred to back in the 1700's by the Illuminati Masons as the "Flaming Torch of Reason". The Torch represents the "Sun" in the sky.
The Statue of Liberty's official title is, "Liberty Enlightening the World".
The cornerstone of the statue records how it was laid in a Masonic ceremony (see plaque photo above).
THE TORCH SYMBOL
Illuminati means to "bare light" one way to symbolize this is by carrying a torch. A torch sits on top of the Statue of Liberty, on top of JFK's grave, and on top of the tunnel where Princess Diana was killed.
Best selling author, Robert Bauval:
"The cornerstone for the Statue of Liberty was placed in a solemn ceremony in 1884 organised by the Masonic lodges of New York.
The Statue of Liberty, which was designed by the French sculptor Bartholdi and actually built by the French Engineer, Gustave Eiffel (both well-known Freemasons), was not originally a ‘Statue of Liberty’ at all, but first planned by Bartholdi for the opening of the Suez Canal in Egypt in 1867.
Bartholdi, like many French Freemasons of his time, was deeply steeped in ‘Egyptian’ rituals, and it has often been said that he conceived the original statue as an effigy of the goddess Isis, and only later converted it to a ‘Statue of Liberty’ for New York harbour when it was rejected for the Suez Canal."
The goddess Isis is known by many names, including Juno.

Roman Godess Juno

Above: Roman Godess Juno 735 B.C. (wife of Zeus)
 
Inaitwa "Statue of Liberty" ipo Manhattan, New York. Ni sanamu waliyopewa Marekani kama zawadi ya uhuru toka kwa Wafaransa. Sanamu hiyo ilijengwa na Mhandisi maarufu kutoka nchini Ufaransa Gustave Eiffel. Sanamu hiyo iliwekwa mwaka 1886 ingawa uhuru wa Marekani ulipatikana mwaka 1776.

Kwa msiomfahamu Mhandisi Gustave Eiffel, huyu ni injinia nguli ambaye ndiye amejenga ule mnara maarufu wa Jijini Paris ambao baadae ulikuja kupewa jina lake "Eiffel Tower"

Natumae mleta mada utakua umepata muongozo...

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom