- Thread starter
- #21
Mkuu mpaka mtoto afike chuo ml. 50 zinahusika3m
Kumbe fursa nzuri
Ngoja nifanye mchakato
Mkuu mpaka mtoto afike chuo ml. 50 zinahusika3m
Kumbe fursa nzuri
Ngoja nifanye mchakato
Ipo wapi mkuuMontecarlo mpeleka apo hautojutia ada yako
Wakuu,
Kama heading inavyojieleza,
Naomba kujua daycare nzuri Kigamboni- DSM na bei ziwe affordable.
Miss You lohDay care ni sehemu ya mtoto kucheza na wenzie na kukua..
so usijali sana uzuri wa majengo
tazama kama kuna walimu wazuri na watoto aina gani watacheza na mwanao
???Mpeleke wakamfunfishe ushoga!Wenzenu wana agenda ninyi mnashobokea tu.Wanadamu ni wagumu sana kuelewa.