biling Member Oct 31, 2014 14 6 Dec 11, 2019 #1 Naomba kufahamishwa bei gani naeza pata trailer kichanja zile used ambazo imported au zile kutoka kwa mtu hapa bongo zile za kichanja. Je, kwa bajeti ya milion 15 naeza pata trailer nzuri kabisa? Natanguliza shukran zangu.
Naomba kufahamishwa bei gani naeza pata trailer kichanja zile used ambazo imported au zile kutoka kwa mtu hapa bongo zile za kichanja. Je, kwa bajeti ya milion 15 naeza pata trailer nzuri kabisa? Natanguliza shukran zangu.
Elungata JF-Expert Member Jan 28, 2011 40,205 33,224 Dec 11, 2019 #2 Kwahiyo hela, labda kirikuu mkuu