Mkuu weka namba nikutafute kuhusu mahindi
Mkuu weka namba nikutafute kuhusu mahindi
nyabu nyabu kimobwa streetFanya mchakato kigoma ndo mpango mzma wa kuuza mahindi kwa madebe wewe tangaza tenda yakufate ulipo nichek kwa 0717181819 nipo kasulu town apa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ase kama unafanya hio biashara nipatie namba zako bos kuna mambo nataka kukuuliza
Ok sawa kiongoz asanteMkuu mimi sifanyi hiyo biashara ila pindi nikienda kununua mahitaji ya nyumbani naiona hiyo bei kwa wauzaji
Bei ya kuuzia je ni shiling ngapdebe sh 17000 hii bei ya jumla
Chief sikuwa hewani Simu kadhaa,samahani kwa hilo hata hivyo bei niliyotoa nilikuwa sahihi sababu kuna jamaa zangu walileta mahindi toka Kibaigwa wakauza kwa bei hiyo.@ Kembamba, tunakusubiria utoe majibu kuhusiana na hiy bei ya T.Sh 500 kwa kilo au ulikua unaleta utani?
Hahahahaaa! Na pweza
Mkuu kwenu wapi..?huku kwetu gunia la debe saba 55000 mpk 60000
hiyo bei ya serikali kwa mahindi ya msaadaTsh 500/= kwa Kilo!!
haiwezekani hata huku kwetu mahindi yanakotoka haiuzwi hivyo labda mahindi ya zambiaNAUZA MAHINDI GUN NI 60000
Gunia la debe ngapi mkuu?Tabora 72 gunia
Debe sita pale soko kuuGunia la debe ngapi mkuu?