Naomba kujua bei ya gunia la mahindi kwa sasa hapa dar es Salaam, bei ya jumla

@ Kembamba, tunakusubiria utoe majibu kuhusiana na hiy bei ya T.Sh 500 kwa kilo au ulikua unaleta utani?
Chief sikuwa hewani Simu kadhaa,samahani kwa hilo hata hivyo bei niliyotoa nilikuwa sahihi sababu kuna jamaa zangu walileta mahindi toka Kibaigwa wakauza kwa bei hiyo.
 
Debe ndio ujazo gani... mbona munaleta ukijijini nyie wa mikoani......

Unataka leta business mjini afu unakomaa debe debe .... debe si hatujui.... ongelea kilo... tone... gram...


Achen izzo... wanunuzi wakubwa tunashndwa kuwapa support.... hatujui hata debe lina ujazo gan na liko vip...
 
Back
Top Bottom