Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

Unataka kuona unataka kununua?
Au wewe ni mfarisayo unahisi naandika nisichokijua
Hakuna TVS wala RE inayouzwa 5-6millioni taja duka linalouza hiyo bei dodoma nzima, waondoe kazimoto na cityboys.
Hata TZ nzima hakuna chombo mpya ya bei hiyo
 
Hakuna TVS wala RE inayouzwa 5-6millioni taja duka linalouza hiyo bei dodoma nzima, waondoe kazimoto na cityboys.
Hata TZ nzima hakuna chombo mpya ya bei hiyo
Huu ni ubishi wa kijinga.
Sasa nikishataja unadhani nitabadilisha fikra zako na umeshaweka msisitizo ni hakuna basi kaa na fikra hizohizo.
.
Your dumb as hell
 
Gharama inategemea mahali ulipo.Mimi nakupa mchanganuo kulingana na gharama za hapa ninapoishi.Bajaj mpya sh 7200000,service (Kupaka vikombe Greece) 40000, kununua na kufunga pazia 60000,kutengeneza mlango wa mbao 20000,kulipa bima 141600,kulipa sumatra 32000,TRA awamu ya kwanza 30000.Mafuta ya kuanzia 20000.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri ila bima weka bima kubwa incase ikipata ajali ajaribu kukimbizana na insurance co.wamlipe hiyo bima ndogo ni kwa ajili askar wasikusumbue tu sumatra ni 68000 yan 32000 ya jiji yan sehemu itajayopark na 36000 sumatra wenyewe
 
Huu ni ubishi wa kijinga.
Sasa nikishataja unadhani nitabadilisha fikra zako na umeshaweka msisitizo ni hakuna basi kaa na fikra hizohizo.
.
Your dumb as hell
you act like you know while you are dumbass!!.. There is no such price in Tz, im telling you as an expect in such a field.
Im not here to argue rather to provide correct knowledge based on the discussed subject!.
 
English please mrs fckface 😕
 
Back
Top Bottom