Kazi itakuwia ngumu kwakua hujasomea uandishi lakini kwakukusaidia nitafute nikuandikie ubaki na kazi ya kupublish tu.... Maana taaluma ya uandishi ni pana kuna theor ya 5W+H au inverted pyramids hapo kukuelezea kwa maandishi humu huwezi kuelewa.
ni sawa sawa na mwenye pesa kuwa na nyumba hali ya kuwa si mjenzi...ukiandikiwa kitabu hakuondoi haki ya wewe kukimiliki...unaoona wameandika vitabu na hawana taaluma wengi wao wanatoa idea kwa wajuzi...kisha wanapewa kazi zao...kuandika si kazi ndogo. Kwamba bila kufundishwa kwa kina huwezi...na itakubidi usome zaidi ya miezi 6. Ili upate kuandika kitabu uelewekeKuna watu wasio na taaluma hyo na bado wanaandika...... Inakuaje
Hapo unamfundisha afanye plagiarism.Tafuta kitabu kizuri ukipendacho kisha kisome mtiririko wake utapata idea ya kuandika cha kwake.
Ahaahahaaa we jamaa una maelezo mazur lakin kama Mwamba Ngoma hiv................ Anyways kuna jamaa zang nawafaham nimemaliza nao chuo ambao wameandika vitab vyao wenyewe (nahakika) na hawajasomea chochote juu ya uandshi...... japo sijawaaproach wanipe guidance.......Hapo unamfundisha afanye plagiarism.
nakutakia kila lakheri Mkuu ....Ahaahahaaa we jamaa una maelezo mazur lakin kama Mwamba Ngoma hiv................ Anyways kuna jamaa zang nawafaham nimemaliza nao chuo ambao wameandika vitab vyao wenyewe (nahakika) na hawajasomea chochote juu ya uandshi...... japo sijawaaproach wanipe guidance.......
Hapo unamfundisha afanye plagiarism.
Au mkuu waliandika biography tu.Ahaahahaaa we jamaa una maelezo mazur lakin kama Mwamba Ngoma hiv................ Anyways kuna jamaa zang nawafaham nimemaliza nao chuo ambao wameandika vitab vyao wenyewe (nahakika) na hawajasomea chochote juu ya uandshi...... japo sijawaaproach wanipe guidance.......
Nashukuru mkuu........... Hapa JF pia watu wamekaa ki*business xanaa hata kwa maelekezo machache...... Khaaamm nmeandika nataka niprint, nmeandika historia yangu kwa ujumla..hadi mahusiano kabla ya kuoa. Hapa nina maandishi ambayo nimeandika kwa mtiririko wa research ila bado sijawapelekea wataalamu wa kuseti na kuprint kitabu. Ningeprinti ningekurushia sample nilivoandika, kuna mtiririko ambao mm nmeona unafaa wala si kwa kuzingatia mengine.
cha msingi uwe na;
1. theme/ unataka kuandika kuhusu nini?
2. ndani unataka kuhusisha watu gani, vitu gani nk
3. unachokiandika kiwe kina ujumbe ulioulenga, usiandike tu ili mradi
4. unaandika kwa ajili ya biashara ama wewe mwenyewe? (mm naprinti najisomea mwenyewe na ndg wanaopenda). km ni kibiashara basi fuata mtiririko mzuri
5. tupe maoni, ushauri, na mafunzo humo ndani ya uandishi
6. table of content
7. shukrani/washukuru wote waliokusaidia ktk uandishi mfano jamii forum hapa ulipo leta uzi, walioprint, ndg jamaa na rafik nk
8. tahadhari/ weka tahadhari ili kujua kitabu chako kimezingatia maadili na tamaduni za kitanzania kitumike kwa wote
9. mwisho fafanua vifupisho vya maneno uliyotumia ndani ya uandishi
10. kuwa mtulivu sana ufanyapo uandishi, usiwawaze akina sepetu na hipsi za kuchonga
nikutakie kila laheri, watakuja waandishi wakuelekeze kwa mtiririko mzuri sasa
Umejitahidi kutoa ufafanuzimm nmeandika nataka niprint, nmeandika historia yangu kwa ujumla..hadi mahusiano kabla ya kuoa. Hapa nina maandishi ambayo nimeandika kwa mtiririko wa research ila bado sijawapelekea wataalamu wa kuseti na kuprint kitabu. Ningeprinti ningekurushia sample nilivoandika, kuna mtiririko ambao mm nmeona unafaa wala si kwa kuzingatia mengine.