kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,546
- 1,662
Hii comment iwekewe pin au ifanyiwe lamination kabisaHii biashara nilifanya na naipenda Sana na inafaida Sana,chimbo kuu ni Zanzibar my dia,Kuna mtaa unaitwa kwa haji tumbo hapo ndo mwsho wa matatizo yote ya vyombo Bei rahis Sana na vizur Sana ,Kama unaweza nenda kwanza ukajionee ,Zenj ndo kila kitu kwa hii biashara na inafaida Sana na ili uwe na mzunguko mzur usiuze kwa Bei kubwa ili uuze haraka ulete Mali mpya kila siku..all the best