Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

Hii biashara nilifanya na naipenda Sana na inafaida Sana,chimbo kuu ni Zanzibar my dia,Kuna mtaa unaitwa kwa haji tumbo hapo ndo mwsho wa matatizo yote ya vyombo Bei rahis Sana na vizur Sana ,Kama unaweza nenda kwanza ukajionee ,Zenj ndo kila kitu kwa hii biashara na inafaida Sana na ili uwe na mzunguko mzur usiuze kwa Bei kubwa ili uuze haraka ulete Mali mpya kila siku..all the best
Hii comment iwekewe pin au ifanyiwe lamination kabisa
 
Salaam wakuu!

Jamani nahitaji kujulishwa kuhusu biashara ya vyombo vya majumbani hasa ceramic au kwa kiswahili vyombo vya kauli/kuvunjika!

Nahitaji kufanya biashara hii ila sijui hata pa kuanzia, niko Dar.

Kwa anaefahamu wapi naweza kununua kwa jumla anielekeze please! Nilishakwenda kariakoo kufanya utafiti ila nimetoka kapa!

Naombeni mwongozo wenu.

Nenda Kariakoo jilani na soko dogo,ulizia mtaa wa vyombo vyombo vya jumla
 
Poleni wale walikuwa wanasubiri feedback ya mzigo wa vyombo nilipoteza huu uzi na nilikuwa sijui naupata vipi

Vyombo vilifika kwa mida ule ule kwa kuwa ilikuwa nimefungia tani ya watu wengi kuna watu walichelewa kulipia usafiri

Vyombo vimetoka na sasa vipo store kwetu mikocheni

46182903-9e11-4f9c-a5fe-00707b547cab.jpg

f9cf6b8a-dbbf-4716-bda6-27dd8e2b1921.jpg

3a9cc47a-f7ab-4217-add3-8829bf168c6f.jpg

e51d0bbe-5cd5-4bc1-8afb-231220cad711.jpg

fb4d9d45-2a6c-489a-b9fe-c107a150376f.jpg

2cc87de3-ce7a-479f-82af-1526fee71267.jpg
 
Hii biashara nilifanya na naipenda Sana na inafaida Sana,chimbo kuu ni Zanzibar my dia,Kuna mtaa unaitwa kwa haji tumbo hapo ndo mwsho wa matatizo yote ya vyombo Bei rahis Sana na vizur Sana ,Kama unaweza nenda kwanza ukajionee ,Zenj ndo kila kitu kwa hii biashara na inafaida Sana na ili uwe na mzunguko mzur usiuze kwa Bei kubwa ili uuze haraka ulete Mali mpya kila siku..all the best
Mkuu naomba tuwasiliane, nimekutext inbox
 
Hongera sana mkuu naomba kujua gharama za usafiri zipoje kwa 1ton

Hivyo vilivyofika usafiri wa tani 1 ulikuwa 480USD, nina vingine tani 1 vinakuja hivyo usafiri ni 690 USD ni vikubwa sana so box kubwa CBM kubwa
Huo ndio utofauti
 
Vyombo vipo store na soon naviuza ukifika na hela yako tu kuanzia Tsh 10000 nakupa vyombo nakuhesabia tu

Karibuni
 
Nao
Hivyo vilivyofika usafiri wa tani 1 ulikuwa 480USD, nina vingine tani 1 vinakuja hivyo usafiri ni 690 USD ni vikubwa sana so box kubwa CBM kubwa
Huo ndio utofauti
Naomba tuone picha ya hivo vikubwa nijiandae naeza agiza maana Nipo mkoa
 
Ubarikiwe mkuu....

Sasa mkuu unavyochanganyiwa uko huweza ukapewa vyombo visivyo kuwa na wteja/visivyo kuwa na ubora.
 
a0d72e70-1199-4657-97da-06c90ad426f4.jpg

4e4e66ac-737d-4e13-9411-fe1066e54724.jpg

Hizi pia tunafungia watu wakihitaji
Ni serving dishes za katika masherehe
Naweka picha photoshooted pia ili muweze kuelewa

16ce5b8b-c595-466c-b6de-b9183b5669ea.jpg

de8785c0-f942-4791-93fc-6dcacffec559.jpg
 
Back
Top Bottom