Naomba kujibiwa...

Naomba kujibiwa...

Mkuu naomba uelewe hii kauli ya yeye kuwa kichaa kaitoa wakati gani. Kuna watu hawakutekeleza wajibu wao ndo akasema kama wao hawatekelezi wajibu wao wanajifanya vichaa nae atajifanya vichaa Zaidi yao ili wamuelewe. Yeye hakusema yeye kichaa kulingana na sentensi aliyoanza nayo.
Umenikumbusha kitu muhimu sana. Siku moja kuna mtu alikuwa anaoga mtoni nguo kaziweka kando, basi alipita mwendawazimu kavaa marapurapu na kuzichukua zile nguo za jamaa na kutimka nazo mbioo. Basi jamaa akiwa uchi akaanza kumkimbiza yule chizi. Sasa sie mashuhuda huku njiani unajua tulikuwa tunatafsiri vipi.........
 
Back
Top Bottom