Naomba kujibiwa...

Naomba kujibiwa...

kisikiji

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
2,530
Reaction score
2,495
Habari zenu wadau,
Nisipoteze muda nilitaka kujibiwa swali hili la hii katuni karibuni kwa majibu.

Capture.PNG
 
inategemea na muktaza.. ni kama neno mchizi tu linavtumika.
 
Ng'ombe anayechelewesha msafara ni yule wa mbele lakini mchungaji anamtandika ng'ombe wa nyuma bakora nyingi. Huyu mchungaji ndio tafsiri sahihi ya kichaa
Mkuu naomba uelewe hii kauli ya yeye kuwa kichaa kaitoa wakati gani. Kuna watu hawakutekeleza wajibu wao ndo akasema kama wao hawatekelezi wajibu wao wanajifanya vichaa nae atajifanya vichaa Zaidi yao ili wamuelewe. Yeye hakusema yeye kichaa kulingana na sentensi aliyoanza nayo.
 
Back
Top Bottom