Naomba kujibiwa maswali haya kuhusiana na CHADEMA

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,886
Nafuatialia hili sakata la viti maalum CHADEMA

Nakuja kwenu naomba anaejua anisaidie majibu ya haya maswali.

1. John Mrema ana cheo gani CHADEMA?

2. Katika wale 19 nimeona jina la Anthropia ambae nimesikia kuwa ni Mkewe. Je, ni kweli?

Ukiacha hao 19 kuna wengine ambao ndo walistahili zaidi? Je, ni akina nani?

Wabunge waliopita wa Viti Maalum CHADEMA ambao hawapo sasa kwenye hao 19 ni kina nani?

Mahusiano ya hawa 19 na Viongozi wa CHADEMA yakoje?
 
The Boss, hata kama ni kweli Anthropia ni mke wa John Mrema na kwamba alienda Kuapa jana hiyo haimaanishi na wala sio lazima awe na ruhusa ya " mumewe" kwa sababu tunapozungumzia dhana ya usaliti hata kwenye ndoa kuna usaliti pia.

Ebu kuwa basi na akili hata za kuvukia barabara basi

Hauna uchungu na chadema zaidi ya mdee

Mkiitwa mnyama mnaona mnaonewa
 
Nafuatialia hili sakata la viti maalum CHADEMA

Nakuja kwenu naomba anaejua anisaidie majibu ya haya maswali.

1. John Mrema ana cheo gani CHADEMA?

2. Katika wale 19 nimeona jina la Anthropia ambae nimesikia kuwa ni Mkewe. Je, ni kweli?

Ukiacha hao 19 kuna wengine ambao ndo walistahili zaidi? Je, ni akina nani?

Wabunge waliopita wa Viti Maalum CHADEMA ambao hawapo sasa kwenye hao 19 ni kina nani?

Mahusiano ya hawa 19 na Viongozi wa CHADEMA yakoje?
Wote wahuni tu. Wala msipoteze muda wenu kwaajili yao
 
Utaumia kichwa tu, viti maalum walio wengi ni wake wa viongozi chadema
  • Anatropia - J Mrema
  • Esther Matiko - Salum Mwalimu
  • Hawa Bananga - Ali Bananga
Na wengine ni tetesi tu mfano salome makamba
Salome Mke wa Nani??
 
The Boss, hata kama ni kweli Anthropia ni mke wa John Mrema na kwamba alienda Kuapa jana hiyo haimaanishi na wala sio lazima awe na ruhusa ya " mumewe" kwa sababu tunapozungumzia dhana ya usaliti hata kwenye ndoa kuna usaliti pia.

Nisome vizuri nilitaka kujua ukweli wa mahusiano haya
Sijasema waume zao wamebariki..
Ninachotaka ni kujua kuna ukweli wa haya mahusiano?
Hawa 19 wote Wana waume zao kwenye Uongozi wa Chadema??
 
Kuna mke pia wa Salim Mwalimu , Naibu Katibu mkuu CDM Zanzibar na mgombea makamu wa Rais CDM 2020, hapo ndio utajua huu mchezo wenyewe CDM wameubariki huko ndani saivi wanavunga vunga nje tu kwa aibu ya wanachama na wapenzi wao.
mke wa Salum Mwalimu ni yupi kwenye hyo orodha?
 
Back
Top Bottom