Mom sheena
New Member
- Jul 10, 2022
- 2
- 1
Habari zenu jamani naombeni mnisaidie dawa ya mapunye, mtoto wangu katokewa na punye mkononi. Ana miaka 4 na miezi 7
Asante Sana ubarikiweNenda duka la madawa waambie tatizo watakupa dawa nzuri bei haizidi 5000 maana kuna tofauti kati ya ngozi na ngozi