Naomba kuifahamu CV ya Juma Nkamia

Naomba kuifahamu CV ya Juma Nkamia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,624
Reaction score
272,381
Ninachokijua ni kwamba huyu ndiye mbunge wa jimbo duni la Chemba mkoani Dodoma , na aliwahi kuwa kiongozi wa timu ya soka ya Simba ya jijini DSM , aliwahi pia kupiga deiwaka BBC , japo alitaka kudanganya umma kwamba aliajiriwa , hata hivyo UKAWA wakamstukia bungeni.

Mwenye mtiririko wake wa elimu na kazi zake atuwekee hapa ili tumjue tupate kumjadili kwa haki .
 
Bungeni kuna watu wawili pekee kupata historia za elimu zao ni kazi sana Mbowe na Nkamia,wengine wote zinajulikana mf Kibajaji ,Musukuma na Kubenea ukiwaambia kuspell Comprehensive au waachie ubunge watachagua kuachia ubunge
 
Bungeni kuna watu wawili pekee kupata historia za elimu zao ni kazi sana Mbowe na Nkamia,wengine wote zinajulikana mf Kibajaji ,Musukuma na Kubenea ukiwaambia kuspell Comprehensive au waachie ubunge watachagua kuachia ubunge

Ninachokijua ni kwamba huyu ndiye mbunge wa jimbo duni la Chemba mkoani Dodoma , na aliwahi kuwa kiongozi wa timu ya soka ya Simba ya jijini DSM , aliwahi pia kupiga deiwaka BBC , japo alitaka kudanganya umma kwamba aliajiriwa , hata hivyo UKAWA wakamstukia bungeni.

Mwenye mtiririko wake wa elimu na kazi zake atuwekee hapa ili tumjue ili tupate kumjadili kwa haki .
Bavicha mkibanwa na tumbo la kuhara mnakimbilia kutafuta cv za watu.
Hebu weka kwanza cv ya Mbowe kabla hujatafuta cv za wabunge wa chama kisichokuhusu
 
Mkuu Tido Muhando ana CV yake iliyoshiba...Kuna siku alimnanga kinoma kuwa hakuwahi kuwa mkuu wa idhaa ya kiswahili ya BBC kama alivyokuwa akijinasibu, Bali alikuwa chini yake (nkamia alikuwa ana tumwa na tido) mpaka anatia huruma. Alikuwa tido anahojiwa baada ya kumaliza kuitumikia BBC na kurudi zake bongo
 
Anavizia uwaziri wa Simbachawene na Muhongo kwa kuwa anajua ngosha ni mlevi wa madaraka na sifa
 
Back
Top Bottom