ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Kila nikakayemwita aitikie ‘LABEKA' kwa wanawake na wanaume waitikie ‘NAAM'
- cacico umeadimika sana siku hizi, naomba maelezo kuhusu kikundi chetu cha mkodobwe kimeishia wapi, maana naona kuna watu humu washakunaku lakini bado tu kusutwa hadi leo.
- snowhite, wewe nawe michango yako humu imekuwa hafifu sana, Je umehongwa nini au umetishiwa kutekwa nyara na kung'olewa kucha?
- gfsonwin, shosti mbona nawe siku hizi speed imepungua, isisje ikawa umekuwa mama kijacho maana kipupwe hiki tutashuhudia uzao ukiongezeka, hivi atakuwa ni mtoto wa ngapi vile?
- @FP, dada yangu wa parpar pa Mfaranyaki bombi ii nyumbi ii, uko pande gani, mbona husomeki?
- charminglady, wewe hujatulia siku hizi, naona ushaanza kuzeeka sasa,haiwezekani watu wanasema maneno mbofu mbofu nawe unawachekea humu, hebu endelea kuwapa ile dozi zako za vijineno vya mipasho…..
- Asnam, u wapi bi dada, nimekumiso ile mbaya
- Kipipi, binti maringo, unaringa ka nini, maana mapozi mpaka JF, full kujiringia
- Smile, ndege mnana upo? Nakuona tu unavyowazodoa wanaume humu, naomba uongoze ngoma ya msuto ya mkodobwe maan cacico kashindwa kazi.
- Preta, Mambo sister, vipi utakuja lili ZNZ
- marejesho, We siku hizi umeadimika sana kama Nyamayao
- ladyfurahia nimepata habari kupitia kwa Bishanga eti uligonganisha mabwana humu jF hivi karibuni…. Eti ni kweli au anakusingizia tumsute?
- Asprin, halafu wewe mzee wewe, naona kazi ya ukaguzi inakushinda siku hizi, kuna wageni kbao humu lakini mpaka leo hawajakaguliwa
- Babu DC Dark City uko wapi we mzee, retired Soldier wa KAR…
- Arushaone, habari yako msee wa R Chuga, Poleni kwa kufiwa na mabilionea
- watu8, upo bro, nimepata habari zako kupitia PM kuwa siku hizi hukamatiki
- Bishanga, msuto unakusubiri, ngoja niitishe jaramba
- Boflo, siku hizi umepouwa sana siona zile picha zako za kufikirisha..
Urojo wa adnani?Nipo kama pichi la Urojo, waujua weye?
Take care huko Arusha kuna ziraili
Nawasubiri kwa hamu maana nasikia wengi waliingia mitini
ndio narudi tena huko Part 3 kufanya uchunguzi mtambuka,
umeadimika sana wewe binti nshaibiwa nini?
Zinduna una kesi na mimi ujue, ile meseji uliyonitumia afu ukapotea bado ninayo, ntaitumia kama ushahidi pale mahakama ya 6 kwa 6.
stevoh ndo anajimilikisha..Mzima lkn!?
kwa kauli hiyo uzima umetoweka gafla.. wallah
Wewe si ulikataa kulipa mahari!?
chairman una mabwaku wewe!!!
We utakufa kifo gani? Halafu mbona haukwenda Korogwe na ndege yako?
chairman una mabwaku wewe!!!
chairman una mabwaku wewe!!!
Mpenzi [MENTION]Zinduna [/MENTION]niko unyagoni kidogo,nafundwa ujue supp za maisha zimeniandama,nasafisha nyota kwanza Micng youuuuuuuuuuuuuuuu
Take care huko Arusha kuna ziraili