Naomba kufahamu zaidi kuhusu hili

JUNIOR GONG

Member
Jun 29, 2014
58
25
Habari za muda huu?
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili swala la uenyekiti wa ccm Taifa, naomba kuuliza kwani endapo JK anamkabidhi Magu chama kama wanavyodai ndio utaratibu, sasa Je endapo Magu katika kukabidhiwa huko akasema nashukuru kunikabidhi uenyekiti lakini mimi kwa sasa nina majukumu mengi naomba uendelee na uenyekiti wa chama ni nini kitatokea endapo JK akaridhia ombi la Magu? Swali hili limekuwa likinitatiza.
 
Unadhani hoja za kukabidhiana zinaibuka tu juu juu au kwenye kikao.kuna mchakato mkuu.nyongeza ni kuwa CCM imenuna,katikati ya safari abiria anakabidhiwa usukani
 
Back
Top Bottom