Naomba kufahamu wasifu wa Aron Kagurumujuli, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

....Na wewe weka hicho kifungu cha ku support your argument...
 
Uchaguzi mkuu 2015 Kura fake zaokotwa Bukoba Kahororo

Wilayani Bukoba, karatasi za kupigia kura ambazo ziliwekewa alama ya vema kwenye sehemu za wagombea wa udiwani, ubunge na urais, jana ziligundulika nyuma ya bweni la Shule ya Sekondari ya Kahororo. Karatasi hizo zilikuwa zimesambaa nyuma ya bweni la wanafunzi wa kidato cha sita, hali iliyowafanya wanafunzi wahisi kuwapo kwa karatasi zaidi ndani ya mabweni.

Mkurugenzi wa uchaguzi wa Jimbo la Bukoba Mjini, Aron Kagurumjuri aliwataka wananchi wapige kura na kudai alipokea vitabu kutoka NEC vikiwa vimefungwa kwenye maboksi, hivyo tatizo la karatasi hizo za kura si lake

 
Asante sana mkuu , unajua tunapoleta maswali kama haya tunataka majibu ya namna hii , sasa huyu ndio msimamizi wa uchaguzi wa kinondoni .
 
February 15, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania

Mkurugenzi wa Manispaa Kinondoni, afanya CHADEMA wafike ofisi za Tume (NEC ) kueleza mapungufu ya zoezi zima la kuelekea ktk uchaguzi mdogo wa ubunge February 17, 2018.

 

UJINGA NI PALE MNAPOACHA HOJA ZA.MSINGI NA KUANZA KUMJADILI MTU. KAGURUMJULI HE'S EDUCATED ENOUGH NA ANA EXPERIENCE YA NGUVU, USIFIKIRIE ALIIBULIWA TU. CHAPA KAZI JENGA NCHI YAKO SIO KUTAKA KUJADILI WATU ALAFU MWISHO QA SIKU MNALALAMIKA VYUMA VIMEKAZA SIJUI NINI KUMBE NI UJINGA WENU WENYEWE
 
Pia ni
Ninachojua ni mhitimu wa BED (Adult Education) UDSM class of 2006
Mzee wa totoz sana;

Kipindi kile yupo pale UDSM 2002/2003 to 2005/2006 BED - ADE amekamua sana vibinti vya mabibo akitumia mark II yake kama chambo cha kuwanasa warembo by then akitokea shinyanga as afisa elimu watu wazima kwenye wilaya moja wapo.

Baadae alienda Arusha kama afisa elimu pale mkoani....baada ya ku graduate pale UDSM kwa kuhonga pale wizara ya elimu.

Baadae akahonga tena ndio katolewa arusha kuja hapa mjini dar as afisa elimu then baada ya ya yule mkurugenzi wa kinondoni kusimamishwa ndio yeye as afisa elimu ka kaimishwa hapo kinondoni.

Kifupi ni kuwa namjua sana Kagurumjuli , alikuwa classmate wangu miaka hiyo hapo UDSM na wala sio TISS kama hao walivyodanganya ila tu ni mtu mjanja mjanja sana wa kujua kucheza step za mziki kadiri ya mazingira na ni fighter sana wa position za kiutawala kiujanja ujanja. Ana degree moja tu ya elimu akispecialize in adult education.

Pia by then ilishafahamika kuwa kaungua na alikuwa na speed ya hatari kula ili kusambaza ila yeye kinachomsaidia ni carrier hvyo sio rahisi kutambulika mapema ila kama demu akimpitia tu after 3 month akipima tayari lazima aanze dozi ya matumaini.

Kifupi huyo ndio kagurumjuli ; mate wa UDSM 2002 to 2006 watakubaliana na mimi hasa wale wa faculty ya education
 
Kwa hyo hizi ndo hoja sio?Umejadili nini hapa zaidi ya kusynthesize ujinga tu kwa sababu umeviimbiwa
 
Unajengaje nchi kwakua na viongozi wabovu na wanaotumia rasilimali za nchi kama mali za kifamilia
 
Asante kwa maelezo ya kutosha
 
Mwalimu anaweza kufanya chochote so long anajua anachokifanya kinamfurahisha bosi wake hasa pale anapokuwa na uhakika kwamba anachokifanya hakitam-demote na kurudi kwenye chaki. Waalimu ni janga la taifa!
Aiseee !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…