Naomba kufahamu ubora wa VEROSSA 1980CC V6

Danielshoo

Member
Mar 3, 2017
8
4
Jamani naomba wataalamu wa magari mnijuze ubora wa verossa yenye six cylinder 1980cc,ulaji wa mafuta,uimara,na bei yake na ushauri kama nataka kuinunua je itanifaa kwa ulaji wa mafuta maana nasikia kila mtu anaisema vibaya verossa kwa mm mgeni wa magari naomba elimu.
 
Ni VVT-i wajameni mnisaidie.
 
Haya ... Verosa in nzuri ila kwa criteria zako za mafuta na uimara utafeli.

Ile gari mayai, wese inakunywa esp ukizingatia V6 2.0L engine, pia issue ya service ile gari usipeleke gereji za wabahatishaji. Wataipigisha short.

Verossa alikua replaced na Mark X so me nashauri ungeenda X being hazitapishana sana
 
Kwani ina tofauti na mark 2 grande vvti 1980cc six cylinder?na je km ngapi per lita coz kuna mtu ana mark ii grande hyo hapa ofcn yy anasema anaona kawaida tu mafuta,plz educate me.
 
Mark II Grande vvti?
2.0 L 1G-FE petrol I6 bwana

Though zina engine Sawa ila haina maana ulaji wa wese no Sawa. Mkuu mbali na service, uendeshaji na mizigo, foreni na barabara, generation ya gari INA effect ktk ulaji wa wese.

Sina uzoefu wa Rossa ila Grande na Mark X 2L naona ulaji Sawa na Rossa itakua apo apo.

Kwa Dar, X na Grande 2L zinaenda 7-8kpL
 
Thanks a lot how about its comfortability and why watu wanaiponda japo ukiiangalia ni gari nzuri.
 
Mkuu usiwasikilize wananchi. Kama umeipenda Grande ichukue ni nzuri tu. Verossa na Mark X ni kama mbadala tu tulikua tuna recommend. Kipenda roho. Verossa na X stylish sana ila Grande imetulia too.

Wengi wanaogopa nadhani engine size tu.

Comfortability uko fresh sana ndani. Matuta huta ya feel
 
Back
Top Bottom