ndaga boy mtemi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 589
- 208
Hapo mkuu tumia email tuone
Hakuna Option ya kuweka email aiseeHapo mkuu tumia email tuone
IMEI inaconnectiwa vipi na laini mkuuImei ni mpaka iwe connected na line mkuu. Labda ujaribu kuitrack na email kama hajaformat simu
Hayo ni mambo ya mtandao wa simu mkuu, wao ndio wanaoiona na kutoa ruhusa.
OkHayo ni mambo ya mtandao wa simu mkuu, wao ndio wanaoiona na kutoa ruhusa.
Kutrack kwa imei unafanyaj?mi mwenyewe nilipoteza A21's yangu na mpaka leo ajaweka lain cjaipat japo bado natrack mpaka leo
DahHapana siji. Acha tu iende kuliko nipigwe nje ndani.
Thanks.



Msaada jamani kufanya android uptodate na kisamsang note 8 ,kinazingua hadi uptodate Apps yyte
Mkuu ni Samsung model gani na wewe unapatikana wapi?Hope mnaendelea vizuri na majukumu.
Nilisahau simu sehemu kama dakika 5 tu kurudi haipo, naipiga Inaita tu but after 1 hour haiku patikana tena.
Niliripoti Polisi Ili Iweze kuwa tracked maana Ina mambo yangu mengi sana, sijafungua kesi ya wizi maana nilisahau mimi mwenyewe.
Shida Inakuja simu haijaweza kupatikana Inaenda miezi miwili sasa, hata tetesi hakuna.
Majibu ni kuwa bado haijawekwa line or aliyenayo hajaanza Ifanyia matumizi means Ipo offline hadi leo (napata mashaka)
Je, Inawezekana ku track simu kwa kutumia IMEI pekee hata kama simu haijawekwa line yoyote? (Mfano Ipo connected kwa Wi-Fi)
Miezi miwili kweli mtu akae tu na simu bila kuifanyia kitu (napata mashaka)
Naamini aliyenayo either anai connect kwa WiFi or else but sio Ipo offline siku zote.
Simu ni SAMSUNG latest model.
Thanks In advance.
CC: Chief-Mkwawa
Mimi nina majanga kama hayoSimu ni samsung ya aina gani ?
Njoo chap tufanye kazi
Cyber Team