Hope mnaendelea vizuri na majukumu.
Nilisahau simu sehemu kama dakika 5 tu kurudi haipo, naipiga Inaita tu but after 1 hour haiku patikana tena.
Niliripoti Polisi Ili Iweze kuwa tracked maana Ina mambo yangu mengi sana, sijafungua kesi ya wizi maana nilisahau mimi mwenyewe.
Shida Inakuja simu haijaweza kupatikana Inaenda miezi miwili sasa, hata tetesi hakuna.
Majibu ni kuwa bado haijawekwa line or aliyenayo hajaanza Ifanyia matumizi means Ipo offline hadi leo (napata mashaka)
Je, Inawezekana ku track simu kwa kutumia IMEI pekee hata kama simu haijawekwa line yoyote? (Mfano Ipo connected kwa Wi-Fi)
Miezi miwili kweli mtu akae tu na simu bila kuifanyia kitu (napata mashaka)
Naamini aliyenayo either anai connect kwa WiFi or else but sio Ipo offline siku zote.
Simu ni SAMSUNG latest model.
Thanks In advance.
CC: Chief-Mkwawa

mi mwenyewe nilipoteza A21's yangu na mpaka leo ajaweka lain cjaipat japo bado natrack mpaka leo