Naomba kufahamu IGP mpya ni mtu wa wapi na anasifa gani tofauti na wengine?

Hata mimi nashangaa! Hili jina mbona la Kisukuma? Hata kama atakuwa anatokea Singida, atakuwa ni Msukuma mhamiaji. Kuna Wasukuma wengi sana Singida waliohamia kwa ajili ya malisho!

Mkuu hakuna kabila lenye haki miliki ya jina.
 
Hapo kwenye gongo pana ukweli??? Kama ni hivyo hoja ya Dr. Slaa kuna haja ya kuiangalia upya badala ya kuibeza.
Ndugu hii gongo imesaidia sana na bado watu hasa vijijini wanaitegemea kama chanzo kikuu cha kipato kuhudumia familia. Viongozi wengi, wataalam kada mbalimbali wamesoma kwa hii kitu gongo. Tuwe wakweli,tuache siasa za kinafiki. Naungana na Dr Slaa kwamba ihalalishwe, ili mazingira ya kutayarisha,vyombo vyake vya kupikia/kuchemsha viwe bora.
 
Ninawafahamu watu kadhaa wanaoitwa Mangu wote ni wanyaturu

Hata mimi nashangaa! Hili jina mbona la Kisukuma? Hata kama atakuwa anatokea Singida, atakuwa ni Msukuma mhamiaji. Kuna Wasukuma wengi sana Singida waliohamia kwa ajili ya malisho!
 
Acha uongo wako, umekariri kuwa pombe ya kienyeji ni gongo tu?
Makabila na mikoa yao wanapombe zao za kienyeji so usidhani kila mkoa au kabila wakiongelea pombe ya kienyeji unadhani ni gongo tu

Baba yake alikuwa na wake sita. Kila mwanamke alihangaikia kusomesha watoto wake. Alivyofaulu darasa la saba kwenda sekondari, alipewa ng'ombe akauze mnadani, wahuni wakamkomba hela zote,alirudi nyumbani kwa kilio.Jamaa ana hasira na majambazi toka utotoni,acha tu. Mama alimsomesha kwa biashara ya pombe za kienyeji(gongo?).
 
KIJOME eti mbeya!! yani kama siamini nahisi labda ile redio ilikua na makengeza.
aseee nahisi kupigana
 
Last edited by a moderator:
usikariri wewe si kila anaetoka singida ni mnyiramba

Hakuna aliyekariri kwangu kabila ni useless ulitakiwa kusahihisha najua sana Singida wanaishi wanyaturu, wanyiramba, wahadzabe, pia wasukuma walitokea Igunga na Baadhi ya warangi waliotoka Kondoa kwangu kabila sio muhumu vile ulitakiwa kusahihisha ili mradi Ernest Mangu ni Mtanzania na anatoka Singida kwahiyo kuchanganya kidogo sio muhimu vile ningesema kabila la nje ya Singida hapo sawa ili mradi anatoka Singida kabila wangu ni useless mie zaidi ni Mtanzania
 
Wacha uongo IGP ni mnyaturu ndugu yake Tundu Lisu.

Hakuna anayedanganya unachotakiwa ni kusahihisha maana kwangu kabila ni useless, najua sana Singida wanaishi wanyaturu, wanyiramba, wahadzabe, pia wasukuma walitokea Igunga na Baadhi ya warangi waliotoka Kondoa kwangu kabila sio muhumu vile ulitakiwa kusahihisha ili mradi Ernest Mangu ni Mtanzania na anatoka Singida kwahiyo kuchanganya kidogo sio muhimu vile ningesema kabila la nje ya Singida hapo sawa ili mradi anatoka Singida kabila wangu ni useless mie zaidi ni Mtanzania
 
Hakuna aliyekariri kwangu kabila ni useless ulitakiwa kusahihisha najua sana Singida wanaishi wanyaturu, wanyiramba, wahadzabe, pia wasukuma walitokea Igunga na Baadhi ya warangi waliotoka Kondoa kwangu kabila sio muhumu vile ulitakiwa kusahihisha ili mradi Ernest Mangu ni Mtanzania na anatoka Singida kwahiyo kuchanganya kidogo sio muhimu vile ningesema kabila la nje ya Singida hapo sawa ili mradi anatoka Singida kabila wangu ni useless mie zaidi ni Mtanzania
Stop that, identity ya watu ni muhimu. Tukikutana kwenye mambo ya kitaifa tunaficha makabila, tukiwa Moshi, BUkoba, Musoma, tutakuwa na sifa ya kuutukuza ukabila wetu!
Angalia hapa: In Belgium, a double identity exists since people may consider themselves Belgian and/or Flemish and Belgian and/or Walloon.
 
Back
Top Bottom